
@LIVERPOOLooo🔴& @YOUNGAFRICAN🟡@ATLETICOMADRID 🔴 #VIDEOGRAPHER AND #PHOTOGRAPHER also #CONTENTCREATOR ALWAYS BE READY TO SURVIVE ALONE✊️
Dar es Salaam Tanzania
Joined August 2022
- Tweets63.6K
- Following3.4K
- Followers5.2K
- Likes49K
Pinned Tweet
Kabla hatujaingia kwenye majukumu tusiache kusherekea wakuu
Siku yangu imeenda ivo asante wote kwa wishes zenu
Nakubali mchango familia yangu🤝🫵🙌🙌🙌🥳🥳🥳🥳🥳
deric retweeted
just bought my redbull and panadol I have some ones doughter to attend to see you all Tommorow
deric retweeted
Kama una kiasi cha Tsh 400,000
Chukua hii Galaxy S20FE
UTAKUJA KUNISHUKURU BADAE 😇
wa.me/255747151944
deric retweeted
Restocked Restocked 🎥
Google pixel 8Pro
💰 Tsh 900,000
Free cover ✅
Free protector ✅
Free charger ✅
📍Mwanza Mjini
Wa.me/255747151944
DM's @ramamobilehub
Jiunge kwenye group langu la whatsapp 💭
chat.whatsapp.com/LZtCQADkl0…
deric retweeted
💨 Bony baada ya kuuza simu na TV sasa hivi kajitengea muda anapitia comments za haters 😂😂
deric retweeted
🚨Yaani kama kuachwa ingekuwa Mashindano sahivi Ningekuwa kimataifa naiwakilisha Tanzania..!😂💔
deric retweeted
Namleta kwenu Carlos Baraba a.k.a.
" I'm a Baraba" moja ya Sajili ya kitapeli , €85m kutoka Brighton.
Mpaka sasa hakuna kitu kipya alichoongeza kwenye midfield ya manjesta,ni tripu shamba tripu garage.
Mvivu kukaba,mvivu kukimbia uwanjani,
I'm a Baraba
#mchambuzihuru
deric retweeted
Ulikua na miaka mingapi ulipojua kuwa mpinzani akienda pale Stamford bridge haruhusiwi kuvaa soksi nyeupe inamlazimu kubadilisha rangi ya soksi chelsea pekee ndo anaevaa soksi nyeupe uwanjani kwake.




























