Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala) profile picture

Entrepreneur and Political analyst, ICT, Software Engineer. College of City and Guild, UK, Former IPP and Vodacom I.T.D Sayona drinks ltd, King lion ltd. DBA

Tanzania
Joined May 2015
Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)
Baada ya kupata files ๐Ÿ—ƒ๏ธ za Mh @godbless_lema Jana kutoka kwa wazalendo, Sasa nitakuwa naangalia Mwandiko wake, nikiona anaendelea na project Vunja moyo Watanzania, napandisha moja with evidence. Kwasasa nakaa ktk silent mode nikiangalia Mwandiko mwingine wa Vipande 30.
27
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Tanzanian opposition leader Tundu Lissu has been sentenced to four years in jail after being arrested on treason charges in April. The court instead convicted him of inciting unrest in a trial that has been widely condemned as politically motivated.
21
342
15
969
73,921
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
My heart is filled with immeasurable joy and gratitude as I celebrate my daughter, Charlene, as she begins a beautiful new chapter in her life. Every mother dreams of seeing her child grow, flourish and find love. There is something profoundly special about witnessing your daughter take this step. May God bless their union, guide their journey and fill their home with enduring love, understanding and happiness. "What therefore God hath joined together, let not man put asunder." โ€” Matthew 19:6 (KJV) Congratulations, Charlene and Isaya!
72
109
10
990
38,379
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
The judges in Tundu Lissuโ€™s sham trial said that Lissuโ€™s incitement caused disruption in the 2025 election! So how can Samia Suluhu and her illegitimate govt claim to have won millions of votes? The court has acknowledged that there was NO ELECTION - no voting, no counting! FYI Tundu Lissu was in prison months before! The 2025 thingie was just an announcement of fake results! Didnโ€™t meet the threshold of an election! Everything is a farce! #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
12
51
1
127
4,255
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Tundu Lissu ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela, je, ipi hatma ya cha... youtube.com/live/jbX8FXgftkEโ€ฆ via @YouTube
7
59
188
5,819
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
โ€œEwe Mola wangu, nitakushukuru vipi? Kwani kila shukrani ninayokutolea ni kwa tawfiki Yako, nayo yenyewe inahitaji shukrani nyingine. Hivyo, shukrani Zako hazina mwisho.โ€
8
20
128
4,699
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Someni huu ujumbe kuhusu post hii ya Lema ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ ni kama anataka kutukatisha tamaa na kuonyesha kuwa hatuwezi kuandamana tena! Hapa muhimu ni kupotezea kauli inayotafuta engagement na ambayo haiwezi ku inspire! Sisi wananchi tutawashangaza hawa mafedhuli kama tulivyowashangaza #MO29 but we need to focus! #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Mwenyekit Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi ambalo, kwa mtazamo wangu, ni la kutengenezwa. Safari sasa ni kwenda Mahakama ya Rufaa, lakini tusisahau kwamba hata Mahakama ya Rufaa haiwezi kuwa mbadala wa dhamiri ya umma katika kutetea haki na kupinga matumizi mabaya ya mifumo ya dola. Mahakama ya rufaa ya Lissu haipaswi kuwa Mahakama ya Rufaa pekee. Inapaswa kuwa umma wote tunaohofia kwamba kesi hizi zinatumika kama njia ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti wanasiasa wakosoaji. Hatari kubwa zaidi si kifungo cha Lissu pekee. Ni uwezekano wa kifungo kutengeneza mazoea hatimaye kuwa sehemu ya mfumo wa kawaida wa kudhibiti upinzani. Hapo ndipo tunapopaswa kuwa na wasiwasi. Leo hukumu imetolewa, lakini nchi inaendelea na shughuli zake kana kwamba hakuna jambo kubwa lililotokea. Kana kwamba ni mtu mwingine wa kawaida tu aliyefungwa. Hii ni ishara inayopaswa kutufanya tutafakari kwa kina kuhusu hali ya dhamiri ya jamii yetu. Watu wengi, wakiwemo wanachama wetu, tayari wako mahabusu. Tusipojiuliza kwa pamoja tunakoelekea, tunaweza kuamka siku moja na kukuta magereza yamekuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kisiasa ya nchi yetu. Uonevu hauzuiliwi na nguvu ya waliouonewa pekee, bali pia na dhamiri ya jamii inayokataa kuuzoea. Kukaa kimya mbele ya jambo linalogusa haki za msingi za binadamu kunaweza kuifanya jamii izoeane na hali ambayo kesho inaweza kumkuta yeyote kati yetu.
13
23
1
93
15,467
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Usikute hili kabila ndio uzao wa yuda ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Kuna mmoja yupo mkoa x kaingia maagano ya ushoga ikafilimbwa ndio pesa inaingia kanunulia vijana kbao pikipiki wanomfilimba๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
1
1
20
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Mwaka 1957 wakoloni wazungu walimfungulia Mwalimu Nyerere kesi ya uchochezi. Kwenye hiyo kesi wakoloni wazungu walimkuta na hatia mwalimu Nyerere. Pamoja na kumkuta na hatia Mwalimu wakoloni hawakumfunga Nyerere gerezani bali walimlipisha faini na akaenda nyumbani. Miaka zaidi ya 70 baadae, mahakama chini ya majaji kina Ndunguru na Jaji mkuu Masaju. Yenyewe imejiundia kosa, imejitafutia ushahidi, imemfunga kiongozi wa upinzani nchini tena kwenye kosa lenye faini. Ccm na serikali ya Samia Suluhu Hassan ni makatili kuliko wakoloni wazungu. Historia itawaweka mnapostahili.
21
200
2
650
10,537
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
โ€ผ๏ธSoma huu ujumbe mzuri kutoka wa mdauโ€ผ๏ธ KIFUNGO KINAWEZA KUWA HUKUMU YA MAHAKAMA, LAKINI SI LAZIMA KIWE USHINDI WA HAKI! Kuna nyakati katika historia ambapo mtu anasimama mbele ya mahakama ya wanadamu, lakini dhamiri yake inasimama mbele ya Mungu. Leo, ninapomtazama Tundu Antipas Lissu, ninakumbuka vijana watatu wa Kiebrania โ€” Shadraka, Meshaki na Abednego. Mfalme Nebukadneza aliweka sanamu ya dhahabu na kutoa amri kwamba kila mtu apaswa kuisujudia. Adhabu ya kutotii ilikuwa kutupwa katika tanuru ya moto mkali. Lakini vijana hawa watatu walikataa kupiga magoti. Walijua gharama ya msimamo wao. Walijua kilichowasubiri. Lakini walikuwa na jambo moja ambalo hata mfalme hangeweza kulinyangโ€™anya: Uaminifu kwa dhamiri na Mungu wao. Maneno yao yalikuwa ya kihistoria: โ€œMungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoaโ€ฆ Lakini kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatutaitumikia miungu yako.โ€ (Danieli 3:17โ€“18). Hawakujadiliana na dhamiri zao ili kuokoa maisha yao. Katika hali inayozungumziwa kuhusu Tundu Lissu, kifungo chake kinaweza kuonekana kama ushindi wa hukumu ya mahakama, lakini kwa wale wanaoona msimamo wake kama kukataa kujidhalilisha ili kupata huruma, kuna maana nyingine ya ushindi: ushindi wa kusimama katika kile unachokiamini hata unapolazimika kulipa gharama kubwa. Ni jambo la kusikitisha pale mtu anapofika mahali ambapo anaamini kwamba ili apate huruma, ni lazima apige magoti na kuacha msimamo wake. Haki haipaswi kuwa zawadi kwa wale wanaonyenyekea mbele ya wenye mamlaka. Haki ni haki kwa kila mtu, bila kujali nafasi yake, itikadi yake au msimamo wake. Shadraka, Meshaki na Abednego hawakushinda kwa sababu hawakuingia motoni. Walishinda kwa sababu moto haukuweza kubadilisha msimamo wao. Na hapa ndipo tunapopaswa kutafakari: Je, ushindi wa kweli ni kutoka gerezani, au ni kutopoteza utu, dhamiri na msimamo wako hata unapokuwa gerezani? Historia inaweza kurekodi kifungo cha mtu, lakini haiwezi kwa urahisi kufuta ujasiri wa mtu aliyekataa kuisaliti dhamiri yake. Mungu ni hakimu wa haki. Na haki, siku zote, inapaswa kutafutwa bila woga wala upendeleo. #Justice #HumanDignity #TunduLissu #Daniel3
1
57
228
11,533
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
โ€ผ๏ธTUMFARIJI TUNDU LISSUโ€ผ๏ธ Kila anayeweza AFIKE kwenye msiba na aende kwenye mazishi ya Mzee Alute kumwakilishi Lissu Tuseme kwa pamoja ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ I AM TUNDU LISSU โ€œMimi ni Tundu Lissuโ€ Kushindwa kumzika mpendwa wako kwa kuzuiwa na mafedhuli inauma sana! Naongea nikijua uchungu huu! Lissu, Heche na wanachadema walinifariji sana walipoenda kufariji familia yangu na kumzika Baba yangu! Sitasahau upendo huu! (Isipokuwa mnafiki dalali Lema huyu โŒ) Kwa sasa kila anayeweza, kila mtanzania asimame na Lissu na familia yake katika huu msiba! #FreeTunduLissu
11
96
1
357
5,754
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
1
31
88
2,289
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Abdul apokei tena simu
9
26
3
185
11,204
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Kashafika bei huyo
Inabidi uchukue break kwenye siasa, inawezekana unaumiza zaidi kuliko kuponya naamini nia yako ni njema. Lissu kasema hajakata tamaa, familia yake imesema hivyo hivyo, jamii inaonesha kutoridhishwa, ila wewe unaona jamii iko kimya?
2
6
237
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Inabidi uchukue break kwenye siasa, inawezekana unaumiza zaidi kuliko kuponya naamini nia yako ni njema. Lissu kasema hajakata tamaa, familia yake imesema hivyo hivyo, jamii inaonesha kutoridhishwa, ila wewe unaona jamii iko kimya?
Mwenyekit Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi ambalo, kwa mtazamo wangu, ni la kutengenezwa. Safari sasa ni kwenda Mahakama ya Rufaa, lakini tusisahau kwamba hata Mahakama ya Rufaa haiwezi kuwa mbadala wa dhamiri ya umma katika kutetea haki na kupinga matumizi mabaya ya mifumo ya dola. Mahakama ya rufaa ya Lissu haipaswi kuwa Mahakama ya Rufaa pekee. Inapaswa kuwa umma wote tunaohofia kwamba kesi hizi zinatumika kama njia ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti wanasiasa wakosoaji. Hatari kubwa zaidi si kifungo cha Lissu pekee. Ni uwezekano wa kifungo kutengeneza mazoea hatimaye kuwa sehemu ya mfumo wa kawaida wa kudhibiti upinzani. Hapo ndipo tunapopaswa kuwa na wasiwasi. Leo hukumu imetolewa, lakini nchi inaendelea na shughuli zake kana kwamba hakuna jambo kubwa lililotokea. Kana kwamba ni mtu mwingine wa kawaida tu aliyefungwa. Hii ni ishara inayopaswa kutufanya tutafakari kwa kina kuhusu hali ya dhamiri ya jamii yetu. Watu wengi, wakiwemo wanachama wetu, tayari wako mahabusu. Tusipojiuliza kwa pamoja tunakoelekea, tunaweza kuamka siku moja na kukuta magereza yamekuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kisiasa ya nchi yetu. Uonevu hauzuiliwi na nguvu ya waliouonewa pekee, bali pia na dhamiri ya jamii inayokataa kuuzoea. Kukaa kimya mbele ya jambo linalogusa haki za msingi za binadamu kunaweza kuifanya jamii izoeane na hali ambayo kesho inaweza kumkuta yeyote kati yetu.
17
35
3
204
8,230
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
โ€œUnashitakiwa kwa kubaka cha ajabu unahukumiwa kwa kupiga nyetoโ€ฆโ€-;
17
97
2
627
19,529
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Attention seeker ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

28
32
358
20,523
Mh Rais @SuluhuSamia ameweka record ya mauwaji ya kutisha ktk Utawala wake, kuliko Rais yoyote hapa Africa, Ameweka record ya kuwaweka viongozi wakuu wote wa upinzani jela, Magufuli alikuwa mwamba lkn hakufanya upuuzi huu. Ni Adolf Hitler ni vampire. Kuna jela mbele yake siku 1
Moja ya mambo yanayonifurahisha katika uongozi wa Rais Samia ni uhuru uliopo nchini. Fikiria, kesi kama ya Tundu Lissu inasikilizwa katika mahakama za kiraia, na wananchi wanaruhusiwa kufika mahakamani na kufuatilia mwenendo wa kesi. Katika baadhi ya nchi, kesi zenye mazingira kama hayo husikilizwa katika mahakama za kijeshi, huku raia wakizuiwa kuhudhuria. Uhuru wa mahakama, uwazi na haki ya wananchi kufuatilia mwenendo wa mashauri ni misingi muhimu ya utawala wa sheria. Hii ndiyo maana ya utawala bora๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ.
85
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Ivi kwani Wachawi Tz kazi Yao nikutulimisha tu wao Hawapatagi Hasira na haya mambo Daah kama Hili nikupita nalooo tu waaaaah.
1
2
189
Sisi na Kenya kwenye Utawala wa Sheria ni mbinguni na Ardhini siku zote.
52