zee la jumuiya retweeted
Replying to @ASwagarya @ChachaWegelo
Hao ndo tatizo wamejaa pale wizarani lkn kazi ni kuwa machawa.
zee la jumuiya retweeted
Replying to @kellytimbarland @drmlalukoMD
Unajua maana ya mtu kuandika jina na mbele kaweka MD😂 au unadhani humu kila mtu anafake life😂
Replying to @Fikra_pevu
Na kama wewe ni huyo mtu unaepeleka umbea kwa bosi, iwe bosi anakutuma au unajituma basi ipo siku bosi atakudai matokeo ya kazi halisi iliyokukutanisha nae na hautakuwa nayo na kazi utafutwa siku hio hio.
zee la jumuiya retweeted
Mara nyingi sana wanawake wanachepuka kwenye mahusiano ambayo mwanaume ni mpole..
Ila ni ngumu sana kukuta mwanamke anachepuka kwenye mahusiano ambayo mwanaume ni muhuni..
zee la jumuiya retweeted
Nchi zote zenye akili hupima uwezo wa kifikra wa wagombea urais kupitia midahalo. Hapa kwetu wanakwepa. Ujanjaujanja na ulaghai. Tukatae.
zee la jumuiya retweeted
Hey @elonmusk @Support please reinstate human rights defender @sativa255’s account. Sativa is a victim of political persecution. Silencing him is tantamount to silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
zee la jumuiya retweeted
Replying to @BesteNicolas
Hilo swali mbona rahisi tu.Muulize mama yako atakujibu
zee la jumuiya retweeted
Over 940K* homeowners purchased their home with as low as 3% down. Learn how HomeReady® can help you.
zee la jumuiya retweeted
Nyakati ambazo unapitia majaribu ndio wakati wa kuzidisha maombi na uvumilivu hapo wakatii wowote ule Mungu anabariki.
zee la jumuiya retweeted
No job? No problem.
Google pays $1,500 daily.
All you need:
Internet + Phone + 5 mins.
I’ve put together a step-by-step guide that shows you exactly how to get started.
✅ Like this post
💬 Comment “Google”
🔁 Retweet
And Must be following for dm
zee la jumuiya retweeted
Karibu katika Idara ya Ngozi KCMC! Upate huduma bora za Ngozi zikiwemo: kuondoa chunusi na makovu ya chunusi, weusi usoni (chemical peels), mishipa midogo ya damu miguuni (spider veins) na mengine mengi.
Kwa Taarifa na Miadi(appointment) piga namba: +255 759 438 315
zee la jumuiya retweeted
Replying to @YerickoNyerereT
Sema Lema kavunja mzizi wa Fitina mpaka mnakosa la kusema .Kaharibu mipango yote na kaondoa nguvu ya ukabila FAM anayoitegemea .TAL anaenda Kuiondoa Chadema kutoka chama Cha uchaga na familia ya Mbowe kuwa chama kikuu Cha upinzani Cha watanzania
zee la jumuiya retweeted
Replying to @rigathi
When we Gen Zs were dying during the protests,
You were silent enjoying our taxes.
Now it is time for you to enjoy your own problems.
We are not with you at all costs.
Kufa Dereva kufa makanga
TRUTH BE TOLD
zee la jumuiya retweeted
Mungu amponye huyu Kijana.Majeraha yake ni makubwa sana aliyonayo.Ana uchungu mkubwa,ana maumivu makali kwa vyombo vya dola ambayo sisi humu hatuwezi kuyaelewa hata theluthi.
Mwenyezi Mungu ampe wepesi na haki yake ipatikane kwa njia nzuri.🙏
zee la jumuiya retweeted
Replying to @swahilitimes
Natamani wafungwe tutolewe,aiwezekani timu ikishinda ushindi unakuwa wa mama,Bora ishindwe Ili iwe ya kwetu wote























