#NiYeye (@InnocentJLS) header
#NiYeye (@InnocentJLS) profile picture

Jesus is Able

Kiboroloni, Moshi, Tanzania
Joined October 2019
Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)
Bwana u sehemu yangu... 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
6
22
1
136
Ukiwa unakosoa ni lazima utukane?, ni lazima ubadilishe jina la mtu?, Hawa ndugu zetu wanakosea sana, piga spana bila tusi au kutweza utu wa mtu. Au ni namna gani jamani?
2
102
#TajiriLaKihaya Binafsi CHADEMA kuibeba Hoja ya Wanaharakati Uchwara ya Hukumu ya Miaka Mitano… kama ilivyo! Bado sijaelewa aisee…💔 Kwa hio tumekubali kuongozwa na Wanaharakati Uchwara??
54
13
3
82
4,493
Hata mimi nimeshangaa. Sijui imekuaje, nashindwa kuelewa.
#TajiriLaKihaya Binafsi CHADEMA kuibeba Hoja ya Wanaharakati Uchwara ya Hukumu ya Miaka Mitano… kama ilivyo! Bado sijaelewa aisee…💔 Kwa hio tumekubali kuongozwa na Wanaharakati Uchwara??
1
1
113
Kiwanja cha Arusha ukikaa VIP kama umekaa mzunguko😂
1
1
12
234
Sijui kwanini Trump aliruhusu Mawakala wa upinzani kuingia kwenye vituo vya kupiga kura.
Trump alishindwa nini kuengua majina ya wagombea wa Upinzani?
4
1
10
398
Hapa Marangu nasikiliza Radio Jambo ya Kenya, Mwananchi anahojiwa anasema Ruto hafai kuwa hata MP😂
3
4
93
2,512
#NiYeye retweeted
Blaza ameumia sana alichofanyiwa na mkewe fear women 😂🙌🏾
3
23
3
103
5,060
#NiYeye retweeted
Tupate Wanaharakati wengine au hawa hawa wanatosha?, Yani mtu siku nzima yeye ana dili na Udini, Ukabila, Ukanda... Kwa staili hii tutafika kweli.
27
11
4
84
4,032
Tunahitaji kupata WANAHARAKATI wengine. I'm sorry
3
1
1
5
317
#NiYeye retweeted
Tunahitaji kupata WANAHARAKATI wengine. I'm sorry
3
1
1
5
317
Rais wa chuo?
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Cha TIA Dar es Salaam, Loveness amefariki kwa ajali ya pikipiki (bodaboda) baada ya kugongwa na lori wakati akiwa anaelekea chuoni. Taarifa ya kifo chake imetolewa na rais wa chuo hicho Mr Sabato mchana wa leo. Tunatoa pole kwa wanafunzi wa TIA, ndugu na marafiki wa mpendwa wao #RIP
1
1
5
485
Mtu akiniambia Hilda ni Mwanaharakati NATAKATAA.
22
1
56
3,633
#NiYeye retweeted
Katika maombi yetu tusimsahau TUNDU LISSU 🙏
3
71
2
294
2,890
Lema hakuwa sahihi kwa kila alichosema bhana usituuzie uongo. Kuna baadhi mambo machache alikuwa sahihi, ila mengi amejichoma mkuki.
#TajiriLaKihaya LEMA alikua sahihi💯ni Vile Nyie mlimuelewa vibaya tu! Na hakusema kwa nia mbaya … alikua anajibu shtuma wanaharakati uchwara wanazompa za kutaka kumuondoa Heche- Jambo ambalo sio la kweli!
4
2
23
1,081
Mwezi huu #BajabirLogistics imetimiza miaka 6 kwenye game ya usafirishaji. Tulianza kusafirisha parcels kama Bahasha, na sasa tumefika hatua ya kusafirisha mzigo wa tani 32. Asanteni wateja wetu kwa kutuamini....kiu yetu ni kuwa wawekezaji kwenye Klabu ya SIMBA #BajabirAt6
63
96
9
504
31,454
#NiYeye retweeted
VIDEO: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, amesema Chama hicho kinahitaji maridhiano ya haki na si maridhiano ya ulaghai wala kitapeli, akisisitiza kuwa hadi sasa mazingira ya maridhiano hayo bado hayajapatikana na kwamba wasemaji kuhusu maridhiano kutoka katika Chama hicho ni Makamu Mwenyekiti Bara John Heche pamoja na Katibu Mkuu John Mnyika. Akizungumza na Jambo TV Novemba 3, 2026, Mungure amesema kabla ya kuzungumzia maridhiano, kipaumbele cha kwanza ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa huru ili aweze kutoa maelekezo kuhusu utaratibu wa maridhiano hayo. Aidha, amesisitiza kuwa viongozi wa CHADEMA katika ngazi za mikoa, wilaya na kata wanafuata maamuzi ya Kamati Kuu, akiwataja Katibu Mkuu John Mnyika na Makamu Mwenyekiti wa Bara John Heche kuwa miongoni mwa viongozi wenye mamlaka ya kueleza msimamo wa chama kuhusu suala hilo.
4
93
2
601
19,768
Abdul amekaa hadi na Lissu mzee, kukaa na Abdul sio ishu kaka, ishu ni je unakubaliana na saundi zake?
Kumbe hadi Mange nae anakaa kwenye mkutano inayoandaliwa na kina abdul? kunya anye kuku, akinya bata kaharisha 😀
6
10
70
3,751
28
41
4
301
17,901
Hiyo strategic management kwanini isiwe wazi?, kwanini ifanyike kwenye kificho?, kwanini afanye yeye mwenyewe? Lema, I hate you with a passion
2
3
1
13
370
Hivi Kinondoni ulipata kura ngapi vile?
Good Morning kutoka kwa Dalali Mangiii.
3
10
947