#NiYeye (@InnocentJLS) header
#NiYeye (@InnocentJLS) profile picture

Jesus is Able

Kiboroloni, Moshi, Tanzania
Joined October 2019
Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)
#TajiriLaKihaya Binafsi CHADEMA kuibeba Hoja ya Wanaharakati Uchwara ya Hukumu ya Miaka Mitano… kama ilivyo! Bado sijaelewa aisee…💔 Kwa hio tumekubali kuongozwa na Wanaharakati Uchwara??
57
13
3
92
4,930
#NiYeye retweeted
Blaza ameumia sana alichofanyiwa na mkewe fear women 😂🙌🏾
3
23
3
103
5,084
#NiYeye retweeted
Tupate Wanaharakati wengine au hawa hawa wanatosha?, Yani mtu siku nzima yeye ana dili na Udini, Ukabila, Ukanda... Kwa staili hii tutafika kweli.
27
11
4
84
4,032
#NiYeye retweeted
Tunahitaji kupata WANAHARAKATI wengine. I'm sorry
3
1
1
5
317
#NiYeye retweeted
Katika maombi yetu tusimsahau TUNDU LISSU 🙏
3
71
2
295
2,896
Mwezi huu #BajabirLogistics imetimiza miaka 6 kwenye game ya usafirishaji. Tulianza kusafirisha parcels kama Bahasha, na sasa tumefika hatua ya kusafirisha mzigo wa tani 32. Asanteni wateja wetu kwa kutuamini....kiu yetu ni kuwa wawekezaji kwenye Klabu ya SIMBA #BajabirAt6
63
96
9
504
31,521
#NiYeye retweeted
VIDEO: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, amesema Chama hicho kinahitaji maridhiano ya haki na si maridhiano ya ulaghai wala kitapeli, akisisitiza kuwa hadi sasa mazingira ya maridhiano hayo bado hayajapatikana na kwamba wasemaji kuhusu maridhiano kutoka katika Chama hicho ni Makamu Mwenyekiti Bara John Heche pamoja na Katibu Mkuu John Mnyika. Akizungumza na Jambo TV Novemba 3, 2026, Mungure amesema kabla ya kuzungumzia maridhiano, kipaumbele cha kwanza ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa huru ili aweze kutoa maelekezo kuhusu utaratibu wa maridhiano hayo. Aidha, amesisitiza kuwa viongozi wa CHADEMA katika ngazi za mikoa, wilaya na kata wanafuata maamuzi ya Kamati Kuu, akiwataja Katibu Mkuu John Mnyika na Makamu Mwenyekiti wa Bara John Heche kuwa miongoni mwa viongozi wenye mamlaka ya kueleza msimamo wa chama kuhusu suala hilo.
4
94
2
602
19,899
28
41
4
301
17,913
MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema. Rev Peter Simon Msigwa Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri. Kwa maoni yangu, ulijielekeza vibaya. Huenda ulikuwa na nia njema ya kueleza msimamo wako, lakini wakati mwingine namna tunavyojieleza inaweza kuleta maswali mengi zaidi kuliko majibu tuliyokusudia kutoa. Mahakama ya Umma ni nini? Hii ni mahakama isiyo na jengo, majaji wala waendesha mashtaka. Ni mahakama ambayo wananchi wanapima maneno yako, matendo yako, misimamo yako na uaminifu wako kwa kuzingatia kile wanachokifahamu kuhusu wewe. Katika mahakama hii, si wewe pekee unayeamua namna utakavyoeleweka. Watu wanaweza kulinganisha ulichosema jana na unachosema leo. Wanaweza kuhoji tofauti kati ya maneno yako na matendo yako. Hata hivyo, hukumu ya umma si lazima iwe sahihi kila wakati. Ndiyo maana ukweli na haki vinapaswa kuwa juu ya hisia na mitazamo ya watu. Mahakama ya Dhamiri ni nini? Hii ni mahakama iliyo ndani ya mwanadamu mwenyewe. Haina majaji wanaoonekana, haina waandishi wa habari, haina mashabiki wala wapinzani. Ni mahakama ambayo wewe mwenyewe unakutana na ukweli unaoujua ndani yako. Unaweza kuwashawishi watu kwamba uko sahihi, lakini dhamiri yako ikawa na maswali ambayo hujayajibu. Unaweza kushinda mabishano mbele ya umma, lakini ukashindwa kupata amani ndani yako. Mahakama ya Umma inakuuliza: Watu wanayaonaje maneno na matendo yako? Mahakama ya Dhamiri inakuuliza: Wewe mwenyewe unajua nini kuhusu ukweli wa maneno na matendo yako? Ndugu yangu Lema, kama rafiki yako, siwezi kujifanya ninajua kilicho ndani ya dhamiri yako. Hilo unalijua wewe mwenyewe na Mungu wako. Lakini ninaweza kukuambia kwa upendo na uwazi kwamba, kwa mtazamo wangu, ulijielekeza vibaya. Urafiki wa kweli si kushangilia kila anachofanya rafiki yako. Wakati mwingine ni kuwa na ujasiri wa kumwambia ukweli hata pale ambapo ukweli huo unaweza kumuumiza. Ninakuombea kwa Mungu akupe hekima, utulivu, unyenyekevu na ujasiri wa kujitathmini. Kumbuka, si kila anayekukosoa ni adui yako, na si kila anayekushangilia ni rafiki yako. Wakati mwingine tunatumia nguvu nyingi kujitetea mbele ya watu, lakini tunasahau umuhimu wa kujitathmini mbele ya dhamiri zetu. Unaweza kujitetea mbele ya Mahakama ya Umma kwa maneno, lakini mbele ya Mahakama ya Dhamiri unapaswa kukutana na ukweli. Ndugu yangu Lema, ninamwomba Mungu akusaidie. Kwa sababu mwisho wa yote, si muhimu tu watu waseme nini kuhusu wewe; ni muhimu pia wewe mwenyewe uweze kuishi kwa amani na ukweli unaoujua. Mahakama ya Umma inaweza kukosea katika hukumu yake, lakini Mahakama ya Dhamiri inayosikiliza ukweli kwa uaminifu inaweza kuwa mahali pa mwanzo wa kujisahihisha.
106
227
13
1,131
67,881
Strategic engagement should never be confused with strategic compromise. The former is transparent, principled and deliberate, guided by clearly defined objectives and anchored in a credible fallback position. The latter is misguided, compromises core principles and risks becoming a misdirected missile that undermines the very cause it is meant to advance. While engagement is a strategy compromise of fundamental principles is a surrender. BAK MWABUKUSI
23
132
6
406
23,611
TOYOTA RAV4 year: 2020 Engine: 1,990cc Mileage: 40,000kms Options: vanity mirror, memory seats, 4wd system, boot, sport optionparking sensors, automatic braking, Bluetooth music system ( with subwoofer) PRICE: 77M Pamoja na usajili Call 0688564672 Kindly repost it🙏
2
16
1
46
2,147
Chadema inapigania rule of law, Lema anasema anapigania uhuru wa Lissu kwa kutumia njia za panya…..
86
284
8
1,750
84,712
Msikilize Mange
3
30
147
6,885
Asante sana kaka @HecheJohn uliongea siku ya mazishi ya Baba yangu mwaka jana na ulieleza maisha ya mtu hayajaribiwi! Ulinitetea kwa hoja nzito! @ChademaTZ2 mlisimama na kuhesabiwa ila Samia Suluhu na CCM walichofanya ni kukwepa kutaka kuhusishwa which is OK! Ila ni vyema wananchi waone tofauti ya hawa watu wawili Heche na Lema! Lema alikuwa hapo na Heche siku hiyo - ila leo anasema mimi ni mwoga!? Imagine unafiki wake! Sikilizeni alafu amueni nani kiongozi na nani ni mbabaishi na tapeli wa kisiasa Kwa hii ishu yangu kwangu Lema kuongea kama chawa wa Mama jana ame- commit political suicide! Bye Felicia 👋🏽 #TutaelewanaTu
26
258
3
1,639
84,184
Currently He is My Favorite 😁 Sheikh Hija Ngea Anakiwasha Sana 🙌🙌🙌🙌🙌 Baada ya Marehemu Sheikh Hussein Hassan Nyundo
31
126
2
1,635
63,366
Lema went heavy on wanaharakati today! Spanas galore, some below the belt IMO My call to wanaharakati, if you are gonna dish it, learn to take it too 👍 Ukipiga spana, uwe tayari pia kupokea. No victimhood
11
18
5
159
5,673
Replying to @franklin_tissa
Ame push kete moja kali sana hapo..! Sympath atakayopata lisu akitoka na kwenda msibani kumzika kaka yake ama sympath ya kifungo/kunyongwa na kunyimwa haki ya kwenda kumzika kaka yake.
1
11
514
UKIONA jambo wenzako hawakuungi mkono, liache kwanza. Rudi nyuma. Jipange. Huo ndio uongozi. Kung’ang’ania jambo linalopigwa na wengi, ni kutaka kushindana na maji ndani ya mkondo wake.
38
202
7
804
25,994
Lissu alikataa fuko la mahelaa, sasa nyie mlitegemea Mangi angekataa 🤣
1
1
3
204
Mkuu, Nabii Lema, humtambui Samia kama Rais ila unamtambua Makalla kama RC Namna gani Mangi ?
RC Arusha, Bwana Makalla. Tarehe 29/10/2025 siku ya uchaguzi baada ya kusikia tu maandamano Arusha yameanza , nilikupigia simu , nikakwambia , Kaka Salama ? Mimi Lema , nimekuwa Mbunge hapa kwa miaka kumi. Ninasikia watu wanapigwa risasi mitaani hovyo , pls nakusihi kwa jina Mungu msiue na wala mikono yako isibebe damu, kama unafikiri tunaweza kushauriana ili kusadia kuepusha vifo na maafa, tafadhali tambua niko tiyari. Ukanijibu ukaniambia unafuatilia , nafikiri mpaka leo bado unafuatilia!! Wale tunaojali sana ustawi wa Nchi hii ndio tumekuwa mstari wa mbele kupatiwa mateso.Acheni kukamata vijana na wanachama wetu na kuwatesa bila sababu. Mbona NYAMA CHOMA hamumkamati na wakati wadudu wake pia walijali kuandamana na kutafuta haki na wakibadilika kuwa kama nyuki ? Punguzeni mateso kwa wanachama wetu. Manaongeza USUGU na hasira ktk JAMII.
5
1
8
1,490