choir masta retweeted
Replying to @godbless_lema
Sawasawa Nabii @godbless_lema Mimi Mwenyekiti wa Kamati ya Vinywaji na sherehe bila shaka nimejiandaa Vizuri, Mjumbe Mwenzangu @kigogo2014 kasikia pia
choir masta retweeted
Kama unaumia na kinachoendelea Tanzania, Kama unaumia na utekaji, uuawaji na upigwaji wa wananchi, Kama unaumia na udhulumat unaofanywa na CCM . Kama unataka mabadiliko, tafafhali sasa hivi, dakika hii tuma pesa kuchangia tone tone. Ruzuku ya Chadema imefutwa kinyemelewa, CCM wanahakikisha wapinzani hawana pesa ili washindwe kufanywa chochote na iwe rahisi kuwanunua. Lazma wananchi muwatumie pesa la sivyo watashindwa kuwapambania.
BORA USILIPIE APP YANGU ILA TUMA PESA CHADEMA. Kama una buku 2 tu to spare naomba usilipie Umbea wangu instead peleka hiyo pesa kwenye ukombozi wa nchi, watumie Chadema hiyo pesa. Mimi dada yenu kupitia mapato ya App nilichangia milioni 3 miezi michache iliyopita na leo nawatumia milioni 3 zingine.
Tigo- Mixx by yas
1. *150*01#
2. Lipa Bill No.4
3. Weka namba ya Kampuni 213050
4. Ingiza kumbukumbu namba 1234
5. Weka kiasi cha fedha - kuanzia 1000
6. Ingiza neno la siri
Vodacom
1. *150*00#
2. Lipa kwa M Pesa No.4
3. Ingiza namba ya Kampuni 111333
4. Ingiza kumbukumbu namba 1234
5. Weka kiasi
6. Ingiza Pin
Mpesa
1. Bonyeza *150*00#
2. Lipa kwa M pesa No. 4
3. Ingia malipo ya kujirudia No. 09
4. Weka malipo ya kujirudia No. 1
5. Weka namba ya kampuni No. 3
6. Namba ya kampuni 111333
7. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo 1234.
8. Weka kiasi
9. Weka jina la malipo CHADEMA
10. Marudio kila siku, wiki au mwezi
11. Weka tarehe ya kwanza ya malipo
2802025
12. Weka tarehe ya mwisho ya malipo
28022026
13. Weka namba ya siri
14. Bonyeza 1 kuthibitisha
DIASPORA
NAMBA: 0744 446 969
JINA: CHADEMA HQ
MTANDAO: VODACOM
BANK
NMB
JINA: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
NAMBA: 22606600140
SWIFT code: NMIBTZTZXXX
choir masta retweeted
Replying to @freemanmbowetz
Tulikuonya Acha Kuwaskiliza Vijana wenye Tamaa za Fedha, Nyama na Pombe za bure hukuskia!!!
choir masta retweeted
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
choir masta retweeted
MAWAKALA wote wa ACT WAZALENDO na Chauma Iringa Mjini Hawajapatiwa barau za utambulisho na Mkurugenzi Njovu
choir masta retweeted
Niko zangu siriazi na mambo yangu, kaja Raia kaniambia" hiyo CHAUMA wanayoenda itakuwa CHAMA CHA UKOMBOZI wa MATUMBO" .
Afu mwamba yuko siriazi, anasukuma Baiskeli yake ina viungo vya Chakula. Raia wako siriazi tusidharau ukimiya na uoga wao.
choir masta retweeted
Kula Ubwabwa Chauma!, Kucheza Mziki CCM!,
Kura Tutapiga #Chadema🙏.
Mambo Serious Wapewe Watu Serious Ok!.
#UhuruHakiNaMaenseleoYaWatu
#Niyeye2020
choir masta retweeted
Ninaomba
#Repost_500
choir masta retweeted
REPOST kwa chapati Maharage.
Au
Like kwa @CatherineRuge .
🤝
choir masta retweeted
Not tweeting till @TunduALissu come out of the the prison 🙏
choir masta retweeted
Tutaelewana tu, wanasema hawataki CCM wanataka AJIRA huku wamevaa nguo za CCM. Wanasema watu wanataka MABADILIKO. Safi sana.
Repost 500 tafadhari
choir masta retweeted
Hilda siku zote amekuwa mstari wa mbele kukemea na kupaza sauti katika yale ambayo sio sawa katika jamii let's appreciate her, sisi na kende zetu tupo tupo tu kama mandezi.🥲
#FreeHildaNewton
choir masta retweeted
Replying to @YoungAfricansSC
Lengo la kujenga Estadio de kaunda litimie tumechoka kusikia kila simu habari za michoro tu. Yanga ni Klabu inatakiwa tufanye vitu vikubwa

































