lightness wilson retweeted
Baraka ya kwanza ni kuamka Salama,
Ahsante Jehovah kwa siku nyingine tena🙏🏻.
Good morning to everyone.
lightness wilson retweeted
Shule zinafunguliwa Lini Kuna Mama hapa Mtaani Sauti imepotea 😅 anaongea kwa mikono 😂😂💔
lightness wilson retweeted
Tunaamka na Mipango yetu ila Mungu ndo
anaamua lipi litimie.
Kumekucha champez 👊👊
lightness wilson retweeted
Hello Dears♥️ Kila tarajio ulilonalo ndani yako linahitaji Imani isiyo koma bidii isiyo koma nidhamu isiyo ya kuigiza na utu matokeo huwa hayaji ghafla tokeo moja kubwa lenye picha halisi sawa na matarajio yako ni mkusanyiko wa vitu vidogo vidogo unavyo vifanya kila siku💪
lightness wilson retweeted
Kama kawaida yetu tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu.
Good Morning X Family.
lightness wilson retweeted
Hello Dears♥️ Kupanda mbegu ni jambo moja ila ile mbegu ili iote na kuzaa matunda inategemea mahali ilipopandwa Mungu akujalie mahali popote utakapopanda nguvu zako akili yako muda wako bidii yako pawe mahali sahihi patakapo kuletea matunda 🙏♥️
lightness wilson retweeted
Baraka ya kwanza ni kuamka Salama,
Ahsante Jehovah kwa siku nyingine tena 🙏🏻.
Good morning to everybody.
Wakati mwingne tunatamani ndoto zigeuke kuwa kweli, na wakat mwingne tunatamani ukweli ungekuwa ndoto
Good morning everyone 🌄🌄🌄😍
lightness wilson retweeted
Hawa Paka huwa hawasikii vizuri 🙆♀️maana tumemkuta njiani .akatufuata kila tukimpiga anatufuata tuu,
Mungu anajua safari yako hata pale ambapo wewe hujui kesho yako kuchelewa kwa jambo fulani hakumanishi kwamba mungu amekusahau. Ana mpango mzur kwa maisha yako
Good morning everyone 🌄🌄🌄😍
Usiongope kesho, kwa sababu mungu ambaye amekushikilia Leo ndiye anayejua kesho yako🙏🙏
Good morning everyone 🌄🌄😍
lightness wilson retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Umri miaka 2-12
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi



















