lightness wilson (@LightnessWilson) header
lightness wilson (@LightnessWilson) profile picture
Joined October 2022
Baraka ya kwanza ni kuamka Salama, Ahsante Jehovah kwa siku nyingine tena🙏🏻. Good morning to everyone.
28
33
46
381
lightness wilson retweeted
Shule zinafunguliwa Lini Kuna Mama hapa Mtaani Sauti imepotea 😅 anaongea kwa mikono 😂😂💔
10
24
90
4,405
lightness wilson retweeted
Good Morning Champs.
9
16
19
468
lightness wilson retweeted
Tunaamka na Mipango yetu ila Mungu ndo anaamua lipi litimie. Kumekucha champez 👊👊
25
54
1
97
1,633
lightness wilson retweeted
+1 🙏🙏
31
37
5
58
2,924
lightness wilson retweeted
Hello Dears♥️ Kila tarajio ulilonalo ndani yako linahitaji Imani isiyo koma bidii isiyo koma nidhamu isiyo ya kuigiza na utu matokeo huwa hayaji ghafla tokeo moja kubwa lenye picha halisi sawa na matarajio yako ni mkusanyiko wa vitu vidogo vidogo unavyo vifanya kila siku💪
27
39
49
687
lightness wilson retweeted
Good morning familia🙏🙏 Tunategewa mitego ili tufail kwenye maisha yetu..
28
41
44
760
lightness wilson retweeted
Kama kawaida yetu tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu. Good Morning X Family.
21
29
44
445
lightness wilson retweeted
Hello Dears♥️ Kupanda mbegu ni jambo moja ila ile mbegu ili iote na kuzaa matunda inategemea mahali ilipopandwa Mungu akujalie mahali popote utakapopanda nguvu zako akili yako muda wako bidii yako pawe mahali sahihi patakapo kuletea matunda 🙏♥️
41
44
2
55
798
Baraka ya kwanza ni kuamka Salama, Ahsante Jehovah kwa siku nyingine tena 🙏🏻. Good morning to everybody.
21
30
36
308
Hawa Paka huwa hawasikii vizuri 🙆‍♀️maana tumemkuta njiani .akatufuata kila tukimpiga anatufuata tuu,
4
4
9
163
The last one for Ancestors 😂
99
286
28
1,692
204,561
lightness wilson retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Umri miaka 2-12 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
11
125
133
1,886
lightness wilson retweeted
Kabla ya kujitenga na wale ambao wangekupa msaada, hakikisha unanguvu, uelewa, ujasiri na uthubutu wa kutosha kukabiliana na hali zote zitakazokuja mbele yako, jitambue. Good morning Hustlers 👊🏾
59
81
135
1,302
lightness wilson retweeted
Mshirikishe Mungu katika harakati zako lazima zitajipa kwa wakati wa Mungu Na usisahau kusaidia wenye uhitaji pia. Good morning 🙏
6
11
20
244
lightness wilson retweeted
Good morning Champs
11
10
16
254
lightness wilson retweeted
This is your chance to place your brand directly in front of families actively searching for quality education and trusted support services. Register now as an exhibitor and secure your space. docs.google.com/forms/d/e/1F…
1
11
12
182
lightness wilson retweeted
Few exhibitor slots remaining for ISEF Dar es Salaam 2026 @isefafrica is coming to Dar es Salaam on Saturday, 23rd May2026 at Serena Hotel connecting thousands of parents and students with schools, colleges, universities, education brands, edtech companies, and service providers.
2
20
1
17
372
lightness wilson retweeted
Maendeleo ya kiuchumi huendana sambamba na afya bora. Hivyo basi, fursa za kiuchumi kwa vijana ni budi ziende sambamba na kuwapa elimu juu ya kujikinga na madhara yatokanayo na ngono zisizo salama. #LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
1
10
2
17
348
lightness wilson retweeted
Maendeleo ya kiuchumi huendana sambamba na afya bora. Hivyo basi, fursa za kiuchumi kwa vijana ni budi ziende sambamba na kuwapa elimu juu ya kujikinga na madhara yatokanayo na ngono zisizo salama. #LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
2
19
1
21
705