Pinned Tweet
The pre-match montages of Tanzanian cityscapes are a fantastic addition to the AzamTV Ligi Kuu broadcast.
Ligi Kuu Bara haishindani na EPL. Anachofanya DSTV/CANAL ni kulinda mgongo wake maana kilichobaki ni haki za kuonesha EPL kwa lugha ya Kiswahili. Anafunga huu mlango licha ya ukweli kuwa wabongo wachache sana wanatazama EPL kwa lugha ya Kiswahili.
MichaelMwebe retweeted
Kabla sijavuta jiko ilikua namna pekee ya kupunguza nguo zilizochoka ndani ni naivaa naenda dukani nanunua mpya ile ya zamani naiacha hapo, inakua kama tragedy of the common, saivi utoke na tshrt ya blue urudi na nyeusi usiku itabidi uende na record ya cctv
MichaelMwebe retweeted
Replying to @MichaelMwebe
That is VERY TRUE, we've experienced this ourselves, and we found a "Tawi la Yanga" and a "Tawi la Simba" in every Tanzanian town / City we've been to
Here's what you find when you enter Tanzania 🇹🇿 from the Zambia 🇿🇲 side
[Nakonde/Tunduma border]
Usukumani, wajukuu wa marehemu wanadai bila kupewa ng'ombe hawafanyi kazi kwenye msiba wa bibi yao. Haya mambo ya mila na tamaduni usije ukapandisha sukari.
MichaelMwebe retweeted
Replying to @RKishaija @MichaelMwebe
Watu hamuwezi hata kuvuka kwenda Zenji kucheki game mtawavutia vipi watalii waje kucheki gake zenu?
Inabidi kwanza raia muwe na huo uwezo ili foreigner apate hamasa ya experience.
Ukiweka kiingilio 20k watu hawaji uwanjani. 😂
Hizo ndio nchi zinazoleta shekeli za utalii. Unaona hawa wana muda wa kukaa kutazama AFCON?
Mechi ya saa 12 jioni lakini ili uiwahi inabidi utoke nyumbani saa nane. Miundombinu ni moja ya sababu kubwa za mashabiki kutojaa viwanjani Afrika. Hatuna miundombinu inayomrahishia shabiki wa kawaida kwenda uwanjani mara kwa mara.
Mashindano makubwa yanategemea kipato cha wenyeji. Wageni/watalii ni ziada. Sio ishu ya marketing, ni pato la mwananchi.
Pili, utalii wetu ni 'bush safari' sio mtalii aje kula bata Arusha, Dar, Nairobi au Kampala.
Replying to @MichaelMwebe
Ni muhimu kuwa na maoni zaidi kuliko whats casual.
Cause truly marketing inaweza badili AFCON ikawa holiday festival kubwa tu ya non Africans
AFCON inatazamwa zaidi na Waafrika, ambao 'hawana pesa za kutalii'. Kumwaga pesa nyingi kutangaza utalii sidhani kama ina athari chanya kubwa.
Morocco walipata watu wengi waliokuja AFCON kwa sababu ya UKARIBU na Ulaya na pia watu wao wanaoishi Ulaya na Uarabuni ni wengi, gharama za usafiri ni ndogo, muda unaotumia angani pia ni mdogo.
Afrika Mashariki tuna aina yetu ya watalii. Na idadi sio kubwa.
Ngumu mno kwa Tanzania, Kenya na Uganda kupata watalii wengi kupitia AFCON. Wageni wengi watakaokuja kwa ajili ya AFCON ni waandishi, viongozi wa timu na ndugu wa karibu wa wachezaji. Hawa namba yao ni ya kawaida. Ndio maana AFCON viwanja vinakuwa tupu.
MichaelMwebe retweeted
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
Moja ya 'stori za boli' iliyonichekesha sana mwaka huu ni ile ya wachezaji wa Azam kushangaa sana kuona Azizi Ki anafokewa na mchezaji wa Wydad.
At Yanga 🇹🇿, Stéphane Aziz Ki 🇧🇫 plays a major role in tactical planning! 🧠⚽
The Burkina Faso international was spotted in an intense discussion about tactics 📋 with interim coach Simo Dladla 🇿🇦 during a Tanzanian Premier League match against Mashujaa FC.
Moments later, Aziz Ki received a pass in a quick attacking move ⚡ and set up Peter Shalulile 🇳🇦 for a goal!
After Manqoba Mngqithi 🇿🇦 was surprisingly sacked by Yanga ❌, the former coach claimed:
🗣️ “It is possible that Aziz Ki spoke to some members of the management to say he does not like playing in my system.” (SNAWA) 💬🚨
Do you think players should be involved in tactical planning and have a strong influence? 🤔💭





















