Muhas Library retweeted
The University by Academic Performance Centre announced the 2019-2020 world university in which MUHAS ranked 1st University in Tanzania.
The URAP also shows that MUHAS has continue to improve and have move up remarkably in the global position👏👏💪💪💪
Muhas Library retweeted
Mwenendo wa COVID-19 unaonyesha ugonjwa unapungua kwa kiasi kikubwa nchini. Tunamshukuru sana Mungu kwa kuendelea kutupigania. Tunamshukuru pia @MagufuliJP kwa kutoa uelekeo mzuri kwa Taifa. Jamii iendelee kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19 #safehands #Barakoa #SocialDistancing
Muhas Library retweeted
Wagonjwa wenye matatizo ya moyo, kisukari, shinikizo la juu la damu, figo na saratani wameshauriwa kuhudhuria kliniki zao bila kukosa kwa kufanya hivyo wataweza kuepuka kupata madhara ya kiafya ikiwa ni pamoja na kupoteza maisha
Muhas Library retweeted
Hii hapa sababu mojawapo inayofanya unene uliokithiri kuongeza makali ya virusi vya Korona...
Muhas Library retweeted
Kuepusha madhara ya COVID-19
•tuwakinge zaidi wazee (miaka >60)
•tuwakinge zaidi wenye magonjwa ya kisukari, moyo, saratani, figo, pumu
Hawa wana hatari ya kupata madhara makubwa kutokana na maambukizi.
•wakae ndani
•waepuke kukutana na vijana
#ElimikaWikiendi
Muhas Library retweeted
Tahadhari juu ya Corona
Dalili mojawapo ya COVID-19 ni kupoteza uwezo wa kunusa, inaweza kutokea bila uwepo wa dalili nyingine.
Ukipata dalili hii tafadhali jitenge (self isolation) ili usiambukize wengine.
@umwalimu @DocFaustine
Muhas Library retweeted
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Wataalam Wabobezi itakayofanya uchunguzi wa mwenendo wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii ikiwemo Mfumo mzima wa Ukusanyaji na Upimaji wa Sampuli za #COVIDー19 nchini Profesa Eligius Lyamuya kutoka Chuo kikuu cha afya na Sayansi Shirikishi-Muhimbili
Muhas Library retweeted
Taarifa ya Serikali kwa umma kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona (Covid-19).
#Jikingewakingewengine
#Coronainazuilika
Muhas Library retweeted
BARAKOA | Hii barakoa (Mask) ambayo ilitumika kipindi cha mlipuko wa tauni. Barakoa hii ilifunika uso mzima, sehemu ya macho ilikuwa ni kioo.
Pua iliingia kwenye sehemu kama mdomo wa ndege iliyotumika kuweka majani yenye harufu nzuri kuzua harufu mbaya.
#ElimikaWikiendi
Muhas Library retweeted
Happening this week! 150+ doctors, anesthetists, clinical officers + nurses across #Tanzania are taking part in remote training on the care of critically ill #COVID19 patients offered by MoHCDGEC @afyatzn @WHO @UNICEFTanzania + broadcast from @Gradian sim-lab in @muhimbiliuniver
Muhas Library retweeted
"Serikali kupitia Wizara ya Afya inatoa wito kwa wazazi na walezi kukumbuka kuwalinda watoto wetu, wakae na watulie majumbani kwa kipindi hiki shule zimefunga, msiwaruhusu waende kuzulula maeneo mbali mbali, kwani wanaweza kupata maambukizi huko wanakoenda kucheza" @anyitike_pm – at Dar es Salaam, Tanzania
Muhas Library retweeted
“Nitumie fursa hii kuwakumbusha Watanzania kuendelee kufuata maelekezo ya wataalam wa afya, kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, na kubwa zaidi tuepuke misongamano na kama huna sababu ya kutoka nyumbani ni vyema ukabaki nyumbani ili kuepuka misongamano” @anyitike_pm – at Dar es Salaam, Tanzania
Muhas Library retweeted
Taarifa ya kuongezeka kwa wagonjwa wapya 84 wa Corona nchini.
#JikingeWakingeWengine
Muhas Library retweeted
Congratulations @MuhimbiliTaifa in solving a much needed protective gown, a highly cost-effective #PPE. The hospital-made gown is crucial for protecting our frontline soldiers against #COVID19















































