Dr. Boaz (@PhysicsJ7) header
Dr. Boaz (@PhysicsJ7) profile picture
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2016
Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)Photo by Dr. Boaz (@PhysicsJ7)
Hiki ni chuo kikubwa nchini kinadisplay matangazo ya outdated year of study. Kwani @udomtheofficial na nyie hamna Maafisa Tehama wa maana ? Hata suala la kuweka control number lilikuwa ni kipengele .
116
Kwa hiyo kesi ya uchochezi ina adhabu moja? huyu jamaa kajitoa kafara hana cha kupoteza?🫢🫢
2
166
🤣🤣🤣🤣
Replying to @nuhuprakash @bwaya
Mimi ni wa kunifundisha ndoa? Unajua nina ndoa ngapi mkononi
27
Replying to @Kapoma8
Sio kweli, ukitaka kuowa kama Bado piga Simu Kijijini kwenu wambie nataka binti bikira,umri Fulani na elimu Fulani. Haipiti wiki hujampata
2
1
8
1,397
Humu ndani wengi mnaendekeza njaa ndo maana hamna msimamo. Kibaya zaidi hamjui nani mwema na nani si mwema.
39
Kwa hiyo hiki KITITA cha dola Afu INe mnakula @VodacomTanzania peke yenu kwa kazi gani mliyofanya? Hata @NjiwaFLow hakupata gawio la simu kiasi hicho aisee🫢🫢
1
74
Kwa hiyo suala la CASHLESS ndo linazidi kuwa gumu hivi. Kukata ticket tu inakuwa hivi🫢🫢 Malipo ya serikali ya Tsh. 200K kwa control number 2K plus ya makato ni lazima uwe nayo🫢🫢
1
1
70
Haya mafunzo ya Uongo na vitisho yameingizwa lini kwenye mtaala wa Police?
Huo 👇 ndiyo UZURI wa INTELIJENSIA YA POLISI. Tayari imeshabaini kila MIPANGO MIOVU ya kufanya VURUGU MAHAKAMANI tarehe 6 Novemba 2026. Halafu unakuta mtu huko ANALAUMU POLISI, eti “ooooh…..POLISI hawafanyi kazi”. Mnyonge, Mnyongeni, HAKI yake mpeni. Pokeeni 🌹🌷🥀💐 yenu POLISI
1
58
Ila hawa viumbe Aina ya @ShirimaYvonne na mwenzake @Finah_Business wanahangaika sana 🫢🫢🫢
1
111
Wababe wawili wa Kigoma 🙏🏻 #AifolaExpress Vs #SaratogaLine Dar-es-Salaam || Kigoma Kigoma || Dar-es-Salaam Nauli ni kuanzia 60,000 mpaka 80,000 Chaguo ni lako, Tiketi nakukatia hapa hapa 0756 084 459 || 0621 877 523
2
8
1
36
1,737
Wale wanaotaka kuombewa ndo watendadhambi Sugu hasa yule anayesema mara kwa mara .✍️
51
Pesa zitarudi , msijali .
33
Leo, timu ya Ubalozi wa Kanada nchini Tanzania ilikusanyika kwa ajili ya muda wa ukimya kukumbuka mwaka mmoja tangu uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025, ikiwakumbuka waathiriwa na wote waliopoteza maisha yao.
18
199
7
527
6,524
Replying to @PhysicsJ7
Yah... Maana ukimgusa mtoto wa mtu Jamii nzima inakugeukia. Jamii inamuona Mwl kama Mhaini, Mwl hana mtetezi. Mwisho anaamua kujikita ktk Sylabus tu
1
1
44
Nawapenyezea hii . Ukweli ni kwamba hata walimu wameungana , hawafanyi kazi ya malezi tena . Maana wanashqmbuliwa sana Wameamua kuelekeza nguvu zao kwenye kufundisha yule anayetaka kusoma bila kulazimishwa tu.
Kuna hizi Video za Watoto waliomaliza K.4... Nimeona Video 4 kama sijakosea. Katika video 4, 3 za Mabinti na moja ya Watoto wa Kiume.... 1. Video ambazo zimejaa Matusi sana ni za watoto wa Kike. Ambao tunadhani hawa ndio Mama wa watoto.... 2. Video ya watoto wa Kiume ina Matusi kidogo lkn zaidi ilijaa maneno ya Upambanaji ktk Betting 3. Ktk Video ya Mabinti wamejielekeza zaidi ktk kwenda kufanya Umalaya, wakati watoto wa kiume wamejielekeza kuingia mtaani kupambana kupitia Kamari. Huko mbeleni kuna Mtihani mkubwa sana.
1
1
1
80
Tuisubiri November.
HAKUNA EL NINO HAKUNA MAPAMBANO NA PESA HAZIRUDISHWI.✍️
67
Hiii issue unaweza kuhisi ni meme🫢🫢
Siku ya harusi yako jioni ile mpo ukumbini sherehe ishaisha, watu wakiwa wanaagana unaitwa na Kaka zake mke wako, Wakat huo wamewashika watoto wawili mkono, Unapelekwa kando then unaambiwa “Shemeji, mdogo wetu aliteleza kdg akiwa chuo Lakini sisi tutasomesha hawa watoto wenyewe”.
1
59
Watu wa vitengo na maofisini hii nguo kwa ajili yenu, – at Tanzania
20
42
8
90
12,103
Dr. Boaz retweeted
Saratani ya matiti inatibika vizuri ikigundulika mapema katika hatua za awali.
5
1
10
495
MKIPISHANA na mwenzi wako ukaona ni kama mnaelekea kwenye violence, amua kuwa mjinga. Mwache mwenzi wako awe mshindi. Mwisho wa siku, ukiwa mvumilivu, ni wewe ambaye hapo awali ulionekana mjinga, utakayeibuka mshindi. I tell you. Abraham alijifanya mjinga akamwacha mpwa, Luthu, ajichagulie viwanja vizuri, malisho yenye chemichemi, nyanda za kijani. Abraham akajichagulia ardhi iliyochoka. Mwisho wa siku, I love the words "at the end of the day ", 😊 aliyeshinda alikuwa Abraham. Ni heri kuchagua kushindwa vita, kama hiyo itamaanisha watu wengi watapona, including wewe.
26
73
3
283
8,239