Dr. Boaz retweeted
Replying to @Kapoma8
Sio kweli, ukitaka kuowa kama Bado piga Simu Kijijini kwenu wambie nataka binti bikira,umri Fulani na elimu Fulani. Haipiti wiki hujampata
Dr. Boaz retweeted
Wababe wawili wa Kigoma 🙏🏻
#AifolaExpress Vs #SaratogaLine
Dar-es-Salaam || Kigoma
Kigoma || Dar-es-Salaam
Nauli ni kuanzia 60,000 mpaka 80,000
Chaguo ni lako, Tiketi nakukatia hapa hapa
0756 084 459 || 0621 877 523
Dr. Boaz retweeted
Leo, timu ya Ubalozi wa Kanada nchini Tanzania ilikusanyika kwa ajili ya muda wa ukimya kukumbuka mwaka mmoja tangu uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025, ikiwakumbuka waathiriwa na wote waliopoteza maisha yao.
Dr. Boaz retweeted
Replying to @PhysicsJ7
Yah... Maana ukimgusa mtoto wa mtu Jamii nzima inakugeukia.
Jamii inamuona Mwl kama Mhaini, Mwl hana mtetezi. Mwisho anaamua kujikita ktk Sylabus tu
Dr. Boaz retweeted
MKIPISHANA na mwenzi wako ukaona ni kama mnaelekea kwenye violence, amua kuwa mjinga. Mwache mwenzi wako awe mshindi. Mwisho wa siku, ukiwa mvumilivu, ni wewe ambaye hapo awali ulionekana mjinga, utakayeibuka mshindi. I tell you.
Abraham alijifanya mjinga akamwacha mpwa, Luthu, ajichagulie viwanja vizuri, malisho yenye chemichemi, nyanda za kijani.
Abraham akajichagulia ardhi iliyochoka. Mwisho wa siku, I love the words "at the end of the day ", 😊 aliyeshinda alikuwa Abraham.
Ni heri kuchagua kushindwa vita, kama hiyo itamaanisha watu wengi watapona, including wewe.
Dr. Boaz retweeted
Kwenye hi picha unapata tiketi za kampuni tatu kutoka kwangu 🙏🏻
#ExtraLuxuryCoach
Moshi || Kigoma via Tabora na Via Kahama.
#SaratogaLine
Kigoma || Dar-es-Salaam
#BrightLine
Kigoma || Dodoma
Karibuni sana
Dr. Boaz retweeted
💨 Samsung s21 used dubai original display
▪️S21 (8+128) - 480K
▪️S21 (8+256) - 530K
📍DAR: Tunatazamana na Geti la KKKT Kariakoo utapanda ngazi za njano Floor ya 1 utaingia ndani na kukunja kulia duka limeandikwa NJIWA STORE
📞 0745100757
Dr. Boaz retweeted
Replying to @TBoundBuses @PhysicsJ7
Kwa mahitaji ya tiketi nipigie 0756 084 459 || 0621 877 523, tunahudumia kampuni zaidi ya 25.
Dr. Boaz retweeted
Ushauri kidogo kwa wanaume hakuna udhaifu kwenye kuomba msaada unapokwama, kuwa na ki cycle chako cha watu wachache unao waamini, zungumza nao unapokwama 😊Shauri Zako 🚶♀️
Dr. Boaz retweeted
💨Hizi simu sasa hivi kila kukicha zinapanda bei anyway tuendelee kupush.
Google pixel 6a (6+128) - 400k
📍DAR: Tunatazamana na Geti la KKKT Kariakoo utapanda ngazi za njano Floor ya 1 utaingia ndani na kukunja kulia duka limeandikwa NJIWA STORE
📍MWANZA: Roundabout ya Samaki bango limeandikwa NJIWA STORE
📞 0745100757
Dr. Boaz retweeted
Gari: AIFOLA EXPRESS
Na: T917 ETE
Uelekeo: Dar kwenda Kigoma.
Week hii nitakuwa Kigoma MC, Uvinza na Kibondo......
Ticketi hii imekatwa na @TBoundBuses
Dr. Boaz retweeted
Karibuni mjipatie tiketi za #AifolaExpress
0756 084 459
Dr. Boaz retweeted
Asanteni sana wadau kwa support mnayoendelea kunipa katika swala zima la kukata tiketi za mabasi ya masafa marefu ndani na nje ya Tanzania, kesho nitatambulishe kampuni nyingine tatu ambazo zimevutiwa na huduma ninayoendelea kuitoa, ningependa kuendelea kuomba support yenu 🤝🏾🙏🏻
Dr. Boaz retweeted
Serikali imetoa taarifa rasmi kutoka Ikulu kuwa Rais amepokea ombi la Nchimbi la kujiuzulu na ameridhia jambo hilo.





























