Nurse Saphia (@StoneSaphia) header
Nurse Saphia (@StoneSaphia) profile picture

The obstacle is the way Can all be the feminist

Joined December 2021
Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)Photo by Nurse Saphia (@StoneSaphia)
Ukipata changamoto usiwahi kumwambia mama yako sababu yeye anaumi mara mbili yako na ukipata jambo la kheri mtu wa kwanza kumwambia ni mama yako sababu yeye ndiye atafurahia zaidi kuliko mtu yoyote.
92
97
5
1,054
Amiin thumma amiin 馃げ
10
Ayat kursi five times every morning 馃
1
2
66
Leo kazi ni moja tu kukariri nyimbo za Fally ipupa
4
126
Kheri uko single huku kwa kina ndoa watu wanaomba rafiki zao afu tano ya umeme na wana waume ndani
1
2
12
246
Halafu huwa najisema eti mimi najua kususa leo nimemuona mtu anamsusia mpaka Mungu 馃檶
Mi ata nshaaachaga kusali, mungu afanye vile anataka 馃檶馃従
2
2
5
186
Bodaboda akili zao sijui zipoje unatongoza mdada wa kazi unaenda unapaki boda nje unakaa ndani kwao boss wake akiwa hayupo anakupakulia chakula unakula bila wasi majirani wanaona ikitokea mwenye nyumba karud ghafla akakukuta humo ndani akakuitia mwizi bado mtalaumu watu wakatili?
1
1
6
204
Nimeona sehemu binti anasema ana mfanyakazi wa ndani ni mama mtu mzima siku moja kamuita kamkalisha chini kaanza kumuambia asiwe anarudi nyumbani late sio vizuri arudi angalau saa mbili ila saa saba sijui saa tisa sio mida mizuri kwa mtoto wa kike binti anasema ameamua kumfanya
4
14
1
194
23,271
Kama mama yake na sio kama mfanyakazi tena maana anamkanya mambo mengi kama mzazi wake
2
1
38
4,693
Nadhani feminist mnaitafasiri vibaya na isiwe tusi la kunitukania kuwa feminist sio kua mwanamke kiburi hapana feminine haitaki kumuweka mwanaume kwenye control maana ya ufenism ni kuondoa gender dusriminationa kumtoa mwanamke katika zama zile za unyanyasaji sasahivi mnaitafsiri
5
1
14
688
Vibaya sababu wanawake wengi wamekua wapambanaji na wanaojitafutia pesa zao hakuna sehemu ufeminist unasema mwanamke anatakiwa aishi kama mwanaune No ni namna nyie mnavyoitafsiri ni tofauti kabisa na dhana nzima ya ufeminism
78
Zaburi 121:8 bwana atakulinda utokapo na uingiapo Zaburi 91:10 hakuna baya litakalokupata
3
11
199
Mnakuaje kwenye mahusiano na watu ambao hamuwezi kucommunicate nao mambo yanayokusibu si bora ukae singo tu unakaa na mambo yanakukaba koo na mshikaji wako wa kumuelezea yupo kama huwezi kumbwagia kaa mwenyewe tu
1
3
11
722
Mlisema ukianza kuitwa madam ndio umeanza kuwa na hela au niache kujifariji 馃ぃ
1
3
10
281
Hili jina hapanaaa hapanaaa silipeeendiii 馃ぃ
Replying to @StoneSaphia
Ama ile eti "ma glass"
151
Watoto wa kuanzia mwaka 1-4 ongea yao ni kuuliza maswali toka asubuhi najibu maswali tu mpaka kichwa kinauma nikijaribu kuleta story naulizwa swali na hachoki haachi mdomo upigwe na upepo anaongea mfululizo ukikaa kimya anakuuliza aunt unaumwa? walimu wao sijui wanawezaje
5
2
30
783
Kuniita miwani au macho manne siwezi kuvumilia ni heri unipige ngumi ninaweza nikakusamehe ila sio kuniita hayo majina
6
7
1
21
531
Niliachana nao mimi bora kulipa 50k kumuona daktari kuliko ile kadhia nilipata hospital nzuri unaenda kwa appointment unahudumiwa chap tu unasepa na ndio dokta wangu mpaka leo
I really love CCBRT eye clinic ila lile zoezi la kuwahi kushika namba that鈥檚 where I drew the line馃槀
2
9
304
Ni kujifungia ndani tu na kulala
at your lowest, who do you talk to?
2
185
Pata kwanza hiyo cancer ndio uongee haya ukiwa huumwi mtu akikwambia naumwa kitu fulani unaona kama anajifanyisha mpaka siku likukute wewe ndio utajua unadhani kutaka kufa ni rahisi hivyo
Sijawahi kuelewa logic ya mtu anaetumia mamilioni ya pesa kupigana na ugonjwa ambao mwisho wake ni kifo, unawaacha familia na madeni kibao. Are you that desperate to live? Mimi nikipata cancer waniue tu. Its my life, my choice and it's called having situational awareness.
99
Nimefatilia jana mpaka saa kumi alfajiri nikawa nasema ni kiki nimekuja kuunganisha na leo nimegundua sio kiki ni kweli kiki haiwezi kuja na maneno makali na ya kudharauliana vile hawa ni watu wana majina na image kubwa wamedabuana kweli ni vile Zuchu kachoka kaamua kutema nyongo
Replying to @therealrigoh
Mbn hii kama ni kweli
2
2
8
412
Wasukuma to the world Tolaga maganza 馃憦馃憦馃憦馃憦馃憦
120