DOPAMINEEEEEE BANDOOOOOO…!!!!!
Wakuu tumerudi tena na mabando ya halotel njoo upate na offer ya dakika mitandao yote dakika 200 mwezi mzima🔥🔥🔥🔥🔥
Travis retweeted
Unakuta mtoto wa kiume anaishi pekeake ila ndani kajaza set za masefuria mara set ya mahotpot kwani unajiandaa kuolewa
Travis retweeted
Good morning friends, Mwenyezi Mungu akabariki mapambano yetu tupate pesa nyingi na atuepushe na wanawake wenye tamaa😀
Travis retweeted
KITCHEN CABINET zipo za kutosha
Malipo baada ya kupokea kwa dar
200,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
Travis retweeted
Ukiona mambo magumu bado usiogope kurudisha mpira kwa kipa.
Kuanza moja sio kosa ✍️✍️
Travis retweeted
Kuna mdogo wangu anakuja huko dalisalama ni mrembo tatizo anapenda soft life mamaeee
Travis retweeted
Anko
"Sisi Wengine Hatujazoea Kulalamika, Sababu Maisha Tuliyopitia Yametufunza kuwa wakubwa Tukiwa Bado Wadogo.
Travis retweeted
Mbosso kalalamika
Vanillah kalalamika
Ibraah kalalamika
Janja Mavokali kalalamika
Kuna kitu hakipo sawa kwa huyu jamaa📌














































