Umbu (@Umbu___) header
Umbu (@Umbu___) profile picture

Jarida la kifasihi la wanawake wanaoandika kwa Kiswahili | An online literary magazine for women who write in Kiswahili

Joined November 2020
Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)Photo by Umbu (@Umbu___)
Nami ninawashukuru sana @Umbu___ kwa kunipa wasaa kama huu wa kupata mtazamo wenu kuhusu riwaya yangu ya #FaradhiyaMoyo Ninalishukuru shirika la Uchapishaji la @MkukiNaNyota kwa kuichapisha kazi hii. Ahsante sana @Udadisi kwa kuiweka kazi hii kwenye jukwaa lenu.
4
5
122
Umbu retweeted
Utatuzi mbona ni mwepesi sana? Kuhudhuria @Umbu___ 👇🏾
1
1
2
44
Umbu retweeted
Tuko mubashara na mwandishi:
2
1
2
46
Tukutane Umbu kujadili maadili ya riwaya yangu ya pili iitwayo @FaradhiyaMoyo
Jiunge nasi kusoma na kujadili Jumamosi hii, riwaya ya #FaradhiYaMoyo Mwandishi Bi. Anna Samwel Manyanza @annasamwel7 atakuwa nasi Host: @ms_faustaTZ Mahali: @enzicoffee Siku: Jumamosi Agosti 29, 2026 Muda: Saa Tisa Alasiri
2
2
75
Jiunge nasi kusoma Lina Ubani. Kitabu ambacho tunaweza kukiita "classic" katika fasihi yetu ya Kiswahili. Tunayo bahati ya kuwa mwandishi wa kitabu Bi. Penina Muhando (Mlama) atakuwepo katika uchambuzi Jisajili: bit.ly/UMBUKLABUVITABUJUNI #UmbuNiDada
3
5
130
Congrats @prudencezoeg ✍🏿!
3
14
2
52
3,350
Mziki wa Taarabu ulitumika pia kama nyenzo ya kueneza lugha ya kiswahili, sikia sauti ya Siti Muharam kilembwe wa msanii maarufu wa Taarab Siti Binti Saad. #onakesho #Onastories #Utanzania #kiswahili #starts4africa
4
9
334
Kuelekea Siku ya Kimataifa ya Kiswahili Duniani, mwezi huu tunasoma kitabu cha mashairi 'Jinsi ya Kurudi Nyumbani' kilichoandikwa na Esther Karin Mngodo. (@Es_Taa ) Tusherehekee Kiswahili kwa kusoma, kuandika, kusikiliza, na kuitukuza lugha yetu adhimu #onastories #kiswahili
5
1
11
468
Ida @IdaHadjivayanis the translator of PARADISE novel into KiSwahili PEPONI, of Abdulrazak Gurnah-the Nobel Prize Laureate in Literature, 2021. At the 36th Kiswahili Symposium in Bayreuth, Germany, 17-19, Ida autographed ✍️ PEPONI for me. Ahsante da Ida🩵
2
7
22
642
Tunawashukuru @Umbu___ kwa uandaaji mzuri na kutuleta pamoja ulikuwa wakati mzuri 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
1
3
85
“MaishaKuishi.com” what a mind-blowing title! I like it. Hongera kwa blogu na hii #UmbuPodcast Kwa kweli, tunavyotafuta “means” za kuishi tusisahau kuishi (its End).
1
3
6
468
📣 #UmbuPodcast @Neysk Walivyo na mshangao Kama unakula kwao Nguo unavaa zao Au wafaidi vyao 😂😂😂
📣 #UmbuPodcast | Mgeni wetu ni Bi. Neema Komba @Neysk ... Ana mengi kwenye wasifu wake lakini kwa leo tumtambulishe kama mshairi Sikiliza shairi lake la "Kibonge" #UmbuNiDada YouTube: youtu.be/d33OZBf2zq0 Spotify: open.spotify.com/episode/1ig…
1
3
64
Ongezeko la ushauri utolewao mitandaoni ambao saa nyingine unasindikizwa na maneno ya utani na/au hata kebehi na udhalilishaji kwa watu wenye miili mikubwa(‘wanene’)inaashiria nini? Ukimaliza kuchagua chaguo lako hapo chini sikiliza shairi hili la @Neysk:xitter.gq/umbu___/status/1722925…
0%Kujali afya na maisha yao
0%Kutojua sababu ya walivyo
0%Kupenda tu kuwanyanyapaa
0%Kujiona wewe kupitia hao
0 votes • Final results
📣 #UmbuPodcast | Mgeni wetu ni Bi. Neema Komba @Neysk ... Ana mengi kwenye wasifu wake lakini kwa leo tumtambulishe kama mshairi Sikiliza shairi lake la "Kibonge" #UmbuNiDada YouTube: youtu.be/d33OZBf2zq0 Spotify: open.spotify.com/episode/1ig…
3
1
5
1,218
Our one and only @Neysk 🥰🥰🥰.
📣 #UmbuPodcast | Mgeni wetu ni Bi. Neema Komba @Neysk ... Ana mengi kwenye wasifu wake lakini kwa leo tumtambulishe kama mshairi Sikiliza shairi lake la "Kibonge" #UmbuNiDada YouTube: youtu.be/d33OZBf2zq0 Spotify: open.spotify.com/episode/1ig…
2
5
101
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

723
#BibiTiti Mohamed
1
11
31
2,292
Tunampongeza Mkurugenzi wetu Dada @demeredye kwa kutambuliwa kama mmoja wa waanzilishi wa @tgnptz katika maadhimisho ya miaka 30 #TGNPGenderFestival
5
1
9
904