Maluu_26 retweeted
AC Milan apate hata sare tu aisee vinginenvyo ata tangaza hali ya hatar kwenye majamvi yangu yote 7
Maluu_26 retweeted
Nijifunze kingleza sasa, wikendi niwe naenda Game Night na watoto wa kishua... Hii kuongozana na kaubama na KingLuda kila wiki wao ni pombe tu na kubeti wanajua 😃
Maluu_26 retweeted
Sisi wakamaria hela kweli tunapata ila tatizo letu hatusanuki tuache kucheza halafu pia tunaoa mapema🥹💔💔💔💔💔💔
Hapo lazima usijue hela zinaishia wapi😤😤
Maluu_26 retweeted
Replying to @chief_mapesa
@chief_mapesa nidondoshee codee niruke nazo nataka nistake 20k Sasa hv niwekee DM Tafadhar 💪💪
Maluu_26 retweeted
Hapa Marangu nasikiliza Radio Jambo ya Kenya,
Mwananchi anahojiwa anasema Ruto hafai kuwa hata MP😂
Maluu_26 retweeted
The reason I started watching football is you and the reason am playing soccer today is also you am very devastated about the news of your retirement from the national team but one ending is a door for another beginning
My forever GOAT CRISTIANO ALVEIRO RONALDOO gracias🙏
💔😭
Maluu_26 retweeted
TAARIFA KWA UMMA...
Kama nitachanga michango yote ya harusi nilizoshirikishwa mwezi huu, rasmi nitakuwa ninarudi nyumbani kwetu Namtumbo😂💔.
Maluu_26 retweeted
Hizo Hela ndogo ndogo unazompa anasema hazitoshi Jaribu kwa mwanamke wa Level yako huwezi kummiliki Halaand kwenye timu aina ya iPswich town.!!😂






























