JAXiS (@jaxis__) header
JAXiS (@jaxis__) profile picture
🇹🇿🇿🇦🇳🇬🇱🇷
Joined February 2019
Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)
Pinned Tweet
GB10 kwa 13,000/= GB 13 kwa 16,000/= GB 20 kwa 24,000/= GB 30 kwa 34,000/= GB 50 kwa 55,000/= GB 100 kwa 100,000/= 0678689057
1
195
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
33
273
20
618
66,469
kutoka jambazi mpaka jumbawazi
Mimi bado siamini kwamba Yule Komando Seba ndio ameshika kiuno hapo 😂😂😂😂🙆‍♂️
1
1
58
Read “In the cold night of 2026, you could find me in my room wrestling with the echoes of unspoken…“ by jaxis on Medium: medium.com/@sixjax255/in-the…
72
kuna muda unaifosi ikasimamie hukohuko bado inagoma😂😂😂
Nipo nae ghetto mda huu imegoma kusimama😭😭😭😭💔
1
110
😂😂😂watu ni waseche
i can’t believe bill gates named that company after his penis
73
Am in a mess right now....Kuna muda natamani hata kujiondoa anyway have a wonderful day queens/kings
32
16
4
183
10,509
mbona hii mama ni kali. kadi atakua anaumia😄
Cardi B isn't holding back after Offset’s pictures with his new girlfriend went viral. 💔😂
1
137
kuishi kwingi🔥🔥
Huyu na expereinece, uzoefu na ujuzi yani akikumata anakamua hadi watoto wa mwaka wa mbele kmmk 😂😂
66
manyonyo wee😍
This quoted post is unavailable.
8
🔥🔥
This quoted post is unavailable.
261
mkubwa ni mkubwa tu. ashaona vingi🔥🔥🔥🔥
1
1
2
300
why over 2 in Italy.? hawa jamaa ni wavivu kufanya foul, kufunga magoli hata kona pia ni wavivu😄
67
watu wa mionzi je? au wao hawana ajira ila wanakula hela za kijiwe to kijiwe😄😄
KOZI 5 ZA AFYA ZENYE AJIRA NYINGI SERIKALINI🇹🇿 1.Nursing 2.Clinical medicine (CO) 3.Doctor of medicine (MD) 4.Physiotherapy 5.Pharmacy (wote) Hapo Nursing ndio nafasi ni kubwa tena Diploma anapata ajira hospitali yeyote✅ -HAMPENDI UKWELI NYIE😂🫵🏿
1
141
oya weee😄
60
Ndugu hawakupata mwili..
2
164
JAXiS retweeted
On this day, bullets took your life away. Since October 29, 2025, your parents have missed you deeply. Your dream of seeing Arsenal win the Premier League finally came true in 2026. Rest in peace, brother. You and everyone else we lost will never be forgotten. 💔🕊️
58
395
11
1,563
34,309
So far so good 1. Tuna machines zote za muhimu 2. Tuna gari & pikipiki ya kutufikisha kazini kwa wakati 3. Tuna team ya vijana 20.... Inayo mudu sites 3 kwa siku Huduma za usafi tupigie 0695475044 Mkoani Dodoma ...& Nje ya Dodoma ❤️
4
22
32
1,024
usikute ulifungia mauzo wewe unasema ni kiti😄😄
Pembeni ya frem yangu kuna frem ingine, yupo kijana 15yrs, juzi kasahau kiti chake kwangu, nikawa na imejensi nikafungia..boss wake amemfukuza kwasababu hiyo eti👀💔
84
How Far is Far?? Nimeona jamaa mmoja Tiktok anasema watu wasikae Chanika ,mvuti na kufanya kazi town maana huko ni mbali. ( Gharama ya Mafuta /Nauli ni kubwa ) na Kupoteza muda mwingi njiani. Nikakukumbuka jamaa yangu mmoja alijenga Chamazi, Wife wake anafanya kazi Kariakoo👇
3
3
2
50
10,233