JAXiS (@jaxis__) header
JAXiS (@jaxis__) profile picture
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡³πŸ‡¬πŸ‡±πŸ‡·
Joined February 2019
Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)Photo by JAXiS (@jaxis__)
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
33
273
20
622
66,773
Am in a mess right now....Kuna muda natamani hata kujiondoa anyway have a wonderful day queens/kings
32
16
4
183
10,510
JAXiS retweeted
On this day, bullets took your life away. Since October 29, 2025, your parents have missed you deeply. Your dream of seeing Arsenal win the Premier League finally came true in 2026. Rest in peace, brother. You and everyone else we lost will never be forgotten. πŸ’”πŸ•ŠοΈ
58
395
11
1,563
34,309
So far so good 1. Tuna machines zote za muhimu 2. Tuna gari & pikipiki ya kutufikisha kazini kwa wakati 3. Tuna team ya vijana 20.... Inayo mudu sites 3 kwa siku Huduma za usafi tupigie 0695475044 Mkoani Dodoma ...& Nje ya Dodoma ❀️
4
22
32
1,024
How Far is Far?? Nimeona jamaa mmoja Tiktok anasema watu wasikae Chanika ,mvuti na kufanya kazi town maana huko ni mbali. ( Gharama ya Mafuta /Nauli ni kubwa ) na Kupoteza muda mwingi njiani. Nikakukumbuka jamaa yangu mmoja alijenga Chamazi, Wife wake anafanya kazi KariakooπŸ‘‡
3
3
2
50
10,233
Coming Soon...... cheddar ft Saa1nnt
9
23
3
26
958
JAXiS retweeted
Jamaa wa Room Of Jinsi Ni Mjivuni sawa Mimi sikatai 😁 Lakini ni Miongoni Mwa Watu wanaojua Kuutumia ule usemi kwamba Publicity is publicity there’s no such thing as bad publicity 😁 Cheki Tu leo alivyojaa Uko Insta , Mi naamini Kuna watu wameijua Biashara Anayofanya Kwaajili ya Jinsi alivyojivuna Pale , Amefanya Hivyo Chief Godlove, Amefanya Hivyo Yericko Nyerere , Ubaya Wa Mitandao Ya Kijamii Unampeleka Viral Mtu Yeyote Mliyechagua Kumpa Airtime, Iwe Kwa Chuki au kwa Mapenzi Yenu Nina Hakika Jamaa Alivyokaa Pale Kwenye Kile Kiti Cha CRDB alikuja Na Speech Ambayo Anajua Kabisa Hii Nikiisema Apa Lazima Nikae On Trending na Ndo maana ameizungumzia Biashara Yake Mara Nyingi sana Kwenye zile Video ata Ukitrim 😁 Huwezi Kutoka na Kipande Ambacho hakina Neno Room Of JinziiiiiiπŸ™Œ In marketing, the real question isn't just whether people are talking about you, it's what they'll remember about you. πŸ”₯
3
12
78
7,314
Should I add multiple successful CPRs on my resume? I mean I knew they were decent every time I felt some ribs crack. These arms aren’t massive for no reason. πŸ™ƒπŸ˜‚
1
1
11
394
Replying to @jaxis__
Asante
1
2
29
JAXiS retweeted
Replying to @jaxis__
Hakika
1
1
24
Shangazi yenu nipo hapa leo km mnenaji wa mada moja πŸ₯°πŸ‘Œ
19
30
2
141
3,644
JAXiS retweeted
VISIT DODOMA "Thread"
11
14
4
48
7,877
Nina dawa za tiba mdalala zinazotibu tezi dume,kupromotes normal urinary flow,supports overall male wellness etc. Kama unachangamoto zozote za afya ya uume . Tuma msg WhatsApp-0768909077 ,Malipo ni baada yakupokea mzigo wako ndio utanilipa.Mikoa yote zipo.
2
11
2
21
2,425
mwanangu Pancho Latino; The Mafia πŸ•ŠοΈ azidi kupumzika kwa amani🀲🏽
πŸ•ŠοΈ
1
1
37
Msaidieni πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ NAOMBA MSAADA WAKO M-pesa 0760749231 Airtel money 0698351010 Crdb bank 0252709244900 Majina Adam Damsohn Nsekule Mwenyezi Mungu Akubariki
2
17
1
44
8,480
JAXiS retweeted
kwenye hatua hii ni nini natakiwa kufanya? maana namba zilizowekwa hapo ili kupokea verification code sio za kwangu. @NjiwaFLow @Rydx_017
1
3
316
Tangu nijiunge X Binafsi haya ni zaidi ya mafanikio kwangu, hata nisipofanikiwa ila itabaki kama kumbuka kwangu, Mpaka nimeenda kuitolea picha mbao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wakuu bado nawahitaji sana mje niwashonee suit kali za kila aina, @makumbawaleo_5n @chapo255 🀝🀝 – at Tanzania
40
54
15
151
35,263
Tumshike mkono Dj Choka wakuu πŸ™πŸΌ
22
93
2
386
20,706
Watu wangu wa X huu UTAMU nilisahau kuwapatia. Sikiliza hii video, kama uko interested reply na neno AIRBNB nikutumie link ya Blueprint πŸ”₯
11
10
1
69
3,241
America spent ten years turning a Tanzanian teenager into the founder of an American company. Then it exported him. I wrote about it for the @nytimes today. Thread 🧡
54
218
25
931
159,717