Mlima Sayuni (@mlimaSayuni) header
Mlima Sayuni (@mlimaSayuni) profile picture
Pwani, Tanzania
Joined October 2020
Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)Photo by Mlima Sayuni (@mlimaSayuni)
Mlima Sayuni retweeted
Nchi inapitia KIPINDI KIGUMU MNO hii.
21
24
3
236
8,123
Mjiulize kama @X (Twitter) haina impact kwa nini @samia_suluhu_hassan analipiwa 1,000$ kwa mwezi kuwa verified kwa grey checkmark na kila siku bize ana post? Narudia mtandao wenye nguvu kwa waleta maamuzi DUNIANI ni X Huku lazima kila mtanzania apambane kuingia na ku post kama tuko serious na ukombozi #TutaelewanaTu
17
45
1
250
15,273
Ukimsikia mtu anasema Lissu analipwa dola elfu 50 kukaa jela, utilize maswali kuhusu akili yake, bali uliza ni elfu 50 ya nchi gani, Kusadikika, Galapagos au Wagigikoko alikokuwa Amos akinunua virus vya ebola?!
11
77
1
340
11,062
Njooni X (Twitter) huko Meta kumeshaharibika! Hata Dada wa Taifa mtamkuta hapa tu! Leo useme tatizo ni VPN alafu unatafuta ukombozi? Na mimi kwa sasa nita post hapa X zaidi - siwezi kujichosha na mtandao unaoshirikiana na wauaji! 🚮 Resistance is our right ✊🏽 Hakuna kukaa kinyonge! #TutaelewanaTu
21
158
6
645
15,245
‼️🚨TUNDU LISSU HAS ALREADY APPEALED THE RULING SINCE NOV 09‼️ So Tundu Lissu has appealed the ruling of his treason sentence since Nov 09 and the state now has also appealed it! Probably it is to try and ensure Lissu doesn’t get bail but in short they are not happy that Lissu has not been given the death penalty Lissu alishakata rufaa Nov 9 na imepokelewa - ila ni kama walikuwa wanajivuta ili serikali pia ikate rufaa! Wanachotaka ni kuhakikisha Lissu anaendelea kukaa ndani naamini! Hawa si binadamu wa kawaida wenye utu - wana roho ya kishetani #FreeTunduLissu
16
136
3
502
35,162
Mlima Sayuni retweeted
Mwenyekiti wetu Tundu Lissu amezishinda risasi 32 za ccm na dola.. Walitaka kumuua mwaka 2017 wakashindwa. Wamejaribu kumnyonga kwa kesi ya uhaini wa uongo wameshindwa. Wamemfunga kwa uchochezi wa uongo. Makaburu hawakuwahi kumpiga risasi Mandela wala kumuondolea ubunge wake. Wamlimfunga tu kwa mda mrefu na baadae alitoka. Historia ya Mwenyekiti Lissu itaandikwa kwa wino wa dhahabu, sio Raila wala Mandela amefanyiwa unyama na serikali kama ambao Mwenyekiti Lissu amefanyiwa na anaendelea kufanyiwa. Tutashinda na tutavuka.
56
443
8
1,768
28,988
Replying to @MariaSTsehai
Ni mfumo huu wa kidhalimu uliotaka kumuua Lissu Sept 7, 2017, kaondoka shetani mmoja tu Magufuli wengine wote wapo hai. Kaibuka shetani mwenzao Samia na mashetani wengine waliopo wanataka kummaliza kwa njia ya kumfunga jela. Tunataka elimu gani ya chuo kikuu kuelewa hili.😠🙆🏽‍♂️
3
11
1,194
Mlima Sayuni retweeted
“Hakuna mazungumzo ya aina yoyote ile hiki Chama kitafanya kama Mhe. Lissu ataendelea kuwa Gerezani kwa kesi ya uwongo…”-; Mhe. @HecheJohn
13
167
3
752
12,205
kuwa unawasaida wauwaji kwa unachofanya as long as wewe uwakomeshe wanaharakati wenzako. Hizo ni akili za bangi na hatuzitaki. La sivyo hamia upande wa pili mazima kama kina dume-jike ila usijifanye uko upande wetu ila kutwa unatuzingua. Mwanzo sikutaka kutake sides na niliwatuliza upande wa pili na kuwaomba wasimtaje Vinepa at all kwenye live zao za tiktok na wakakubali hawajamtaja wala kumjadili tokea nilivyowaambia ila vinepa bado anatafuta chokochoko na wenzie. Mpaka nimeshindwa kujua nafanyaje. Naongea coz hili swala ni muhimu coz inawatoa wananchi mood wakiona wanaharakati wanachambana wenyewe kwa wenyewe kwa kiasai hiki. Wananchi wanatuona hatuna todauti na CCM ndo maana napambana vinepa aache huu upumbavu wa vita za wenyewe kwa wenyewe. Wananchi wa instagram ndio kila kitu kwenye movement lazma wanaharakti muwe serious na harakati huko instagram na sio kuendekeza upuuzi. Vinepa sio mtu mzuri at all, na siku niliyomtoa marks zote ni siku alipojaribu kumu expose cute Maria ni nani in real life. Aiseee, kwa harakati za cute Maria dhidi ya wauwaji Kweli mtu unaejua wanaharakti wanatafutwa kiasi gani na wauwaji unawezaje kumtaja identity yake huku ukijua atauawa au kutekwa?. Alafu hapo hapo anajifanya Oooh kina Nuru Vazi wanahatarisha maisha ya vijana, huku yeye anahatarisha maisha ya wanaharakati wengine kwa kujaribu kuwa expose who they are in real life.
1
14
83
5,073
Mlima Sayuni retweeted
6
76
2
255
5,084
Mlima Sayuni retweeted
Kuna muda najiulizaga hivi hawa wakina MASAJU sijui majaji nao walisoma Darasa hili hili la sheria walilosoma wakina MWABUKUSI? Wajomba wakishafika kwenye TEUZI vichwa vinageuka kama PANGO LA MENO.
16
207
3
1,219
31,390
Mlima Sayuni retweeted
MASAJU NI MSHENZI sana, anaita wachungaji kukosoa watanzania tunaopinga HUKUMU YA KIPUMBAVU na huku anawahimiza WACHUNGAJI waliombee sana hili TAIFA. Kama ni hivyo basi tufute SHERIA za nchi tuwekeze kwenye maombi kama TAIFA JITU LA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KWENYE SHERIA NDIO HILI
7
83
604
26,710
Huu ndio ukweli mchungu. Ni lazma tuukatae uwoga ndio tutaweza kujikomboa kutoka kwa hawa mashetani. No one is coming to save us, we have to save ourselves……. Hawawezi kutuua wote na kutumaliza.
Hakuna wa kuja kutuokoa Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote! Si Marekani, EU, nchi yoyote Si UN, ICC ama shirika yoyote You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma Ndo ukweli mchungu #TutaelewanaTu
6
131
831
66,729
Mlima Sayuni retweeted
Replying to @mangekimambi
Mtu mwingine akiumizwa akipoteza haki zake or akinyimwa nafasi ya kusikilizwa,wengine wanaona ni mambo ya wanasiasa.But justice should never be a concern for politicians alone.Kuna msemo unasema When one house is on fire,the whole neighbourhood is in danger.Watanganyika
1
8
818
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa 🇹🇿📷#NoJusticeNoAFCON
11
58
3
376
23,442
Mlima Sayuni retweeted
Haya ni baadhi ya majina ya watu ambao Nduli Idd Amin Mama aliwauwa kwa risasi Oktoba 29, 2025, hawa ni wale ambao familia zao zilikubali majina ya wapendwa wao yaweshared. Hatutaacha kusema juu ya damu za ndugu zetu mpaka pale Haki yao itakapo patikana. Mungu aendelee kuwapa pumziko la milele wapendwa wetu.🙏😭
18
195
11
678
29,649
Mlima Sayuni retweeted
Tuanze hapa
Mgomo wa bidhaa/huduma unaanza rasmi kwa wale viongozi wote wa ccm/machawa/na wauwaji wanaouza bidhaa au kutoa huduma kupitia biashara zao.Kama wewe ni Mtanganyika unaependa haki anza kugomea hizo bidhaa ambao zina . Mfano mimi kuanzia leo nyumbani kwangu ni marufuku kununua Mtungi wa Taifa gesi na Sitopanda basi la Abood @MariaSTsehai @lifeofmshaba @AdvocateMaria92 @EliasariaII @SautiWatanzania @Liberatus80 @Nuruvazi01 @Tanzaiite @CuteMaria26 @2twelve4
13
54
2
135
5,103
‼️🚨 Gaidi Mwandamizi Namba 101 Mtanganyika - Jaji Shaban Ally Lila‼️ Tunamleta kwenu Gaidi Shaban Ally Lila (Mtanganyika) ambaye ni Jaji na Mwenyekiti wa tume HARAMU iliyoundwa na Gaidi Kiongozi Samia Suluhu Hassan mnamo Mei 2026. Gaidi Lila amezaliwa mwaka 1960.
Ikumbukwe kwamba raia wa Tanganyika wapatao 10,000 wasio na hatia waliuliwa kabla, wakati na baada ya Oktoba 2025. Mauaji haya yamefanywa na familia katili kutoka Zanzibar ya Gaidi Mkuu Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na familia yake Gaidi Shaban Ally Lila anatuhumiwa pamoja na ukatili mwingine wa kisheria ambao amekuwa anaufanya, ana tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya alipokuwa kwenye majukumu katika mahakama za Tanzania. Tuhuma hizi zilizoletwa kwetu na wazalendo ndani ya vyombo hazijawahi kukanushwa wala kupingwa. Hivyo uteuzi wake kuongoza tume haramu ya kuinajisi Tanganyika na watu wake unatokana na uzoefu wake wa kupindisha sheria na taratibu kwa malipo ya fedha. Kwa sasa Gaidi Shaban Ally Lila anaendelea na kazi ya kuchunguza chanzo, wahusika, na waliopanga au kufadhili matukio ya ghasia, vifo na uvunjifu wa amani. Kazi yake kubwa sasa hivi ni kukusanya kila takataka ya taarifa ili atimize lengo la kuwaumiza Watanganyika kwa kesi FEKI za uhaini na ugaidi. Kazi kubwa anayoikamilisha ni kuhakikisha baadhi ya viongozi wa CCM wasiopendwa na Gaidi Kiongozi Samia na familia yake, wanaharakati, wanasiasa hasa wa chama kikuu cha siasa Chadema, viongozi wa dini hasa TEC na baadhi ya KKKT ambao wanasimamia HAKI wanafunguliwa mashitaka ili kuzima harakati zote za kuikomboa Tanganyika dhidi ya uvamizi wa magaidi kutoka Zanzibar. Ndugu Mtangayika, simama kutetea nchi yako. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapomuona au kupata taarifa za Gaidi Shaban Ally Lila. Kutoa kwako taarifa ikiambatana na picha au sauti itasaidia kuweka kumbukumbu zitakazowezesha kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria. Tusiogope! Tutashinda! A luta continua, vitória é certa! Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika! #FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
7
98
3
303
21,210
AMKENI! @Africa_In_EN imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi Urafiki wake na Abdul iko on record Lakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa! Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 🚮 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini alifanya kosa gani! Alagu tusikie mnasema eti Lissu hafai kuwa makamu kwa sababu eti kahukumiwa! Kama kujiuzulu aanze Sifuri Tatu! Tafsiri: Nyaraka rasmi za Uingereza zilizoonwa na *Africa Intelligence* zinataja hukumu mbili za mahakama ya madai dhidi yake, zilizotolewa mwaka 2021 na 2022, zikimtaka kulipa faini za pauni 3,140 na pauni 4,085. Nyaraka hizo hazibainishi sababu za faini hizo, lakini kiasi hicho cha fedha kilikuwa bado hakijalipwa kufikia Septemba 2026. Msemaji wa ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania hakujibu ombi la *Africa Intelligence* la kutaka maoni. Tunapambana na wahalifu! Eniwei #SamiaMustGo na #TutaelewanaTu
30
162
3
776
98,800