Pea (@peangomuo) header
Pea (@peangomuo) profile picture

QS

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2012
Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)Photo by Pea (@peangomuo)
05.12.2024 Old man is no more… Rest in power pops🕊️🙏🏽
20
1
5
1,271
Feels like whole city.. Sam Nujoma & Mandela iko full packed
Hii kamba ya Mbezi Beach tafuta sehemu unywe kahawa hadi saa tatu hivi.
1
22
🌹💚❤️ ULTRAS AMORE E MENTALITÀ À ZANZIBAR 🇹🇿 !
1
29
8
170
8,230
Utajiri wangu wote kwisha
If you’re a lady and you can shake it like this may God bless you abundantly
1
1
1
43
Pea retweeted
when she cant text other guys>>>
Some men will still crack
117
1,294
106
14,602
437,489
Nah
Very few men can take all that energy
86
I can’t let my heart pump blood for a girlfriend in Dar.
Having a girlfriend in dar is a humiliation ritual.
1
1
55
Sema kuna muda wachina wanazingua naelewa hizi hasira ila ndo hivo tena mwamba yanamkuta sasa
VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia na kumhoji kwa kina Halidi Seleman Kalaghe (45), mwendesha mtambo aina ya 'Excavator', kwa tuhuma za kuharibu mali mbalimbali za mwajiri wake kufuatia mzozo uliotokea kati yao. Hatua hiyo imebainishwa katika taarifa rasmi kwa umma iliyotolewa leo, Novemba 11, 2026, na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro. Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Polisi, tukio hilo lilitokea mnamo tarehe 10 Novemba, 2026, majira ya saa 06:05 mchana katika Mtaa wa Mvumoni, Somangila, uliopo ndani ya Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Inaelezwa kuwa mtuhumiwa huyo alifikia uamuzi wa kufanya uharibifu huo katika mazingira yaliyozua taharuki kubwa baada ya kutokea kwa kutoelewana kati yake na mwajiri wake, kampuni ya China Energy Engineering Group Guanxi Hydroelectric Construction Bureau CO.LTD, inayotekeleza mradi wa ujenzi wa barabara katika Manispaa hiyo ya Kigamboni. Baada ya kutoelewana huko, Kalaghe anadaiwa kuingia kwenye mtambo wa 'Excavator' na kuanza kubomoa na kuharibu mageti mawili pamoja na uzio wake, gari ndogo yenye namba za usajili T 282 DEM aina ya Toyota Sienta mali ya Brighton Abraham Mfangavo, gari la kubebea mafuta namba T 391 EUN aina ya Sinortrack mali ya kampuni hiyo, pamoja na nyumba za muda zenye vyumba vitano na vyoo. "Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam imemkamata Halidi Seleman Kalaghe, miaka 45, Mwendesha mtambo ‘Excavator’ kwa tuhuma za kuharibu mali za mwajiri wake. Tukio hilo limetokea tarehe 10 Novemba, 2026 saa 06:05 mchana Mtaa wa Mvumoni Somangila Kigamboni Dar es Salaam katika mazingira yaliyozua taharuki baada ya kutoelewana na mwajiri wake kampuni ya China Energy Engineering Group Guanxi Hydroelectric Construction Bureau CO.LTD inayofanya kazi za ujenzi wa barabara katika Manispaa ya Kigamboni alichukua uamuzi wa kuingia kwenye mtambo ‘Excavator’ na kuanza kuharibu mageti mawili na uzio wake, gari ndogo yenye namba T 282 DEM aina ya Toyota Sienta mali ya Brighton Abraham Mfangavo, gari la kubebea mafuta namba T 391 EUN aina ya Sinortrack mali ya kampuni, nyumba za muda zenye vyumba vitano na vyoo”, ameeleza Muliro. Jeshi la Polisi limeeleza kuwa taratibu zaidi za kisheria zinaendelea kukamilishwa dhidi ya mtuhumiwa huyo.
33
Hamna kipa pale
42
We’re getting relegated this season fr😭
Bro I might have to support Liverpool & Chelsea today💔
1
1
1
101
What agoal
54
Jamaa wakae rada na the likes of Lema and co. Wasije waka infiltrate chama hasa kipindi hiki.
1
61
Tunaiombea familia ya Lissu. Hukumu hii ni msiba wa pili kwa familia hii kabla hata msiba wa kwanza haujaisha. Mungu wa faraja yote awajalie nguvu, imani na matumaini ambayo wanadamu hatuwezi kuwapa. Mungu anayeruhusu hayo yote anajua sababu na hufanya kila jambo kwa wajati wake.
23
1
135
1,310
Again, that hasn't cleared your evil and inhumane actions on October 29th.
3
78
Hukumu ya kweli na kubwa zaidi ipo katika DHAMIRI. Dhamiri ndiyo Jaji wa mwisho anayehukumu kwa haki na usahihi zaidi. Iwapo dhamiri imeafiki hukumu yako, basi amani huwa nawe. La sivyo, utaonekana huru kwa nje lakini moyo wako upo kifungoni na amani haiwezi kuwa nawe.
12
36
1,005
Jamaa wanahamisha magoli
1
102
Ukiona utetezi ni mkubwa ujue kuna shida mahali😁
Naona Wakali wa kutetea Gharama za Ujenzi wa Viwanja vya Mpira wapo kwenye media hapo Crown fm KUTETEA kuwa ni sahihi ongezeko la gharama… Hii Nchi hakuna Accountability watu ni WEZI
1
54
Jini
45
City slept on that🤣
52