rasul (@vedayank) profile picture
Joined August 2026
Replying to @SuphianJuma
Sema unajiwekea mazingira magumu sana Suph, siasa hujui kabisa na huamini ktk maisha baada ya siasa lakini na mwinuko wa Gen Z. Hata hao wanaofaidi hii nchi wana ukiasi mfano Nape ila wewe na yule jamaa wa kigamboni mmepigwa upofu kabisa. Mbaya zaid TAl is your region's man.
1
1
21
1,424
Nina pendekezo kwa CHADEMA. Ili kutokomeza hizi press conferences za wahuni kuhusu maridhiano, iwe ni policy ya chama kuwa kama kuna member wa CHADEMA anataka kufanya press conference, lazima aruhusiwe na press secretary @BrendaRupia au @jjmnyika baada ya kupeleka proposal. – at Bristol, IL
30
65
7
405
10,035
Hey @Meta I never posted any incitement or violence @OversightBoard It is clear @finkd is collaborating with the murderous regime of Samia Suluhu to not only restrict my account but to remove content that are perfectly harmless! As I said we need a class action suit!
5
94
5
222
29,581
Unakusanya magari ya kubeba watalii unayapanga bara barani kupokea raisi Huyo raisi gani anaye fanyiwa maigizo anaye anakubali Umeshinda kwa aslimia 98.7 Unafanyiwa maigizo na Makonda tena kwenye mji mkuu wa kitalii Arusha. Magari ya kubeba watalii yanajipanga yote bara barani Mnautangazia ulingu kuwa biashara ya utalii imekufa Ndiyo maana magari yote ya kubebea watalii hayana kazi.
7
9
1
115
6,687
Scenes
441
2,533
331
19,341
1,980,422
rasul retweeted
UJUMBE WA MUHIMU SANA HUU KWA WANACHADEMA KIPINDI HIKI. ASANTE MAKAMU @HecheJohn REPOST 200
32
554
6
2,317
42,182
Hii sabuni haijawahi kuisha yenyewe lazma itumbukie chooni😅
41
20
1
199
12,314
rasul retweeted
Mtangazaji alikuwa anatikisa tuu kichwa. Repost 200
14
315
3
1,477
45,094
Priceless
7
165
1,096
11,192
Kimenukaaaaaaaaa…… Naingia kulala, nikiamka napeleka watoto shule alafu nawashushia video saa 3 usiku muda wa TZ….. Issue ni dipu kuliko…..:::
132
381
20
3,023
236,138
Bwana Ndunguru, Una familia, mke na watoto. Una ndugu ndani ya Tanganyika, tafakari, ndani ya nafsi yako, madhara utakayowaachia kwa kuwa sehemu ya Uonevu. Unamfunga mtu asiye na kosa. The "Hell" is awaiting you. Malipo ya Ushetani yako karibu. Hakuna dhulma isiyokutana na Karma.
17
66
2
373
14,943
Huyu ndo Dully ze Teja anaendesha nchi na midume mizima inashindwa kumwambia akwemdeeeer! Kweli kuanzia vyombo vya usalama hadi CCM hakuna mzalendo hata mmoja mwenye backbone (or balls) za kum challenge jamaa?? Wote wameufyata - wanatii amri zake haramu na za kipumbavu! Ila #TutaelewanaTu very soon maana Simba wa Tanganyika Tundu Lissu looked Abdul in the eyes na kumwambia “gerrautahia” ✊🏽 Hadi leo teja haja recover! #FreeTunduLissu
37
140
5
927
105,066
Kama angetaka kuwa nje, angetoka kitambo sana, hata kwa kuwalaghai majamaa kwa hoja ya 'maridhiano' fake. Yuko kwenye "mission" maalum ya KUANIKA uozo wa Mfumo wa Utoaji Haki wa hii nchi. Ndio maana huwa anatabasamu muda wote. Lengo likitimia, tutamuona tu uraiani. TUMUOMBEE.
43
255
4
1,007
87,530
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
34
274
20
645
76,202
Basi Pilato akasema" Mtwaeni ninyi mkamsulibishe; kwa maana mimi sioni hatia kwake.”
4
54
513
13,179
Print weka nyumbani weka unakoona panafaa tabasamu jema la mtu mwema Aliyeshinda Risasi Anayeandaliwa na Mungu Kama Mungu aishivyo
2
106
1
416
5,412
🚮
2
82
2
364
17,595
Uhaini haujathibitishwa. Mahakama kutaka kujitungia kosa, sijui minor offenses, ni utamaduni ambao haupo dunia nzima. Mahakama isifanye kazi ya polisi au prosecutors. Tuheshimiane.
18
189
3
987
35,057
Ukamwambie, ukisema, BWANA asema hivi, Je! Umeua, ukatamalaki? Nawe utamwambia, kusema, BWANA asema hivi, Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba na damu yako, naam, damu yako. [1 Wafalme 21:19]
2
69
2
259
5,732
“Wana Chadema wenzangu, Kukatishwa tamaa ni jambo la kweli. Kuchoshwa na hali iliyopo ni jambo lisiloepukika. Kuvunjika moyo ni sehemu ya ubinadamu. Lakini kujisalimisha kwa watesa wetu hakupaswi kamwe kuwa hitimisho la historia yetu ya pamoja.”
17
134
3
736
15,322