Chuma ya @Kangaboy_ inamalizia powder
Noma sana mzee 💥
Ifike mahali uyu jamaa aheshimiwe chuma 15 kwenda SHZ kutoka dar nakuludi jumla ngap mzihesabu🇰🇭🦌🙆🏻🔥🔥
ELY 163🇱🇮
EQC 188🇱🇮
EFX 876🦌
ECH 452🇱🇮
DYD 255🇱🇮
ECH 448🦌
EKN 648🦌
EKN 649🦌
ERZ 433🦌
EFX 879🦌
EFX 873🦌
EQC 186🇱🇮
DYD 245🇱🇮
EBK 240🦌
EBK 242🇱🇮
#MegaPlus
Mninga haukwepeki subir zile sufuria HB4 zije engine MAN show ya mbele ya F12+ mirror za Dragon Rim za PF4
Tanzania ilibatika kuwa na Scania OG moja tu Slow poison (Polo kichaa) ikiwa chini ya Mkurugenzi Late Solomon Sauli.
Baada ya hapo zikaja za Kasarani😁😁 moja imetoka tunduma jana mda huu ndo imepita Iyovi
Sufuria
Ni hapo kwa jirani... Master Fabricators 🙌🏽
MAN HB4 26.360 6x2.
#KataramaLuxury
Imagine hiki kidude @INFLUENCERjr alikuwa anatumia kutamba nacho humu😁😁






























