Chumachapua (@IronZenth) header
Chumachapua (@IronZenth) profile picture

.

Joined October 2017
Photo by Chumachapua (@IronZenth)Photo by Chumachapua (@IronZenth)Photo by Chumachapua (@IronZenth)Photo by Chumachapua (@IronZenth)Photo by Chumachapua (@IronZenth)Photo by Chumachapua (@IronZenth)
Sometimes God will make you wait because the timing matters more than the thing you're asking for.
2
9
15
510
Inafahamika bayana kwamba mtu ambaye si shoga hawezi kamwe kuangalia video ya zinaa za ushoga Sasa jinsi vijana wetu hasa hapa Twita wanavyohaha kuiona video ya shoga maarufu anko tii ni case study extraordinaire ya jinsi vijana wetu wengi walivyoingia kwenye ushoga.
7
12
2
85
6,150
Chumachapua retweeted
Mtu asiwatishe pale Selena kuku ni shilingi elufu saba akiwa kwenye picha baada ya kusoma menu
1
4
4
80
Kindly #Repost 🙏 Embroidery and DTF T-shirts Printing 🔥. T-shirts Zenye Ubora. Karibu Sana Tukuhudumie 🤝 📍 Arusha 📩 0685294460 ✅ Tunafanya Delivery Pia
1
5
5
27
Matatizo yataendelea kuwepo siku zote. Jifunze kufurahia maisha huku ukitatua matatizo hayo.
6
6
132
Chumachapua retweeted
Watu wengi maumivu yao makubwa kwenye maisha sio yanayotokana na wabaya wao Bali yanayotokana na watu wao wa karibu.
2
7
10
163
Chumachapua retweeted
Huenda usifikirie ndoto zako kila siku, lakini kuna sehemu ndani yako ambayo inaendelea kufanya kazi ili kuzifikia. Hata siku ambazo hauoni maendeleo, haimaanishi kwamba safari imesimama.
2
9
13
158
Chumachapua retweeted
Nipende niwe special
3
4
10
158
Wakati wailesi anapambana apungue, mimi kuna watu wananiambia "mbona hunenepi utakuwa unarohombaya"😆😆😆 Yani ninenepe halafu nianze kazi yakutaka kupungua kama huyu👇 weeweee!
2
6
7
57
Chumachapua retweeted
Hiki ni kinywaji pendwa kwa Wana wengi ambao wanajifanyaga hawanywi pombe.sasa Last time na Mimi nikasema ngoja nionje kwanza ,yaani nilikutana na ladha ya hovyo Sana hata glass sikumaliza🚮🙌🏿. X wajuaji hiki kinywaji kinasaidia nini?
4
16
1
34
655
Hivi ukila kwa pupa vinakaba zaidi ya roba mbao😂😂 *karibuni viazi vitamu vya kuchemsha vipo✌️ Ukinunua viazi vyako vya jero na mikachumbari😋na pepsi yako🙌makutano jioni😂
23
27
2
60
1,593
Chumachapua retweeted
Kumekucha .
2
6
12
197
Maisha unayoyaomba au kuyaota kila siku siku moja yatakuwa maisha yako ya kawaida. Usirudi nyuma. Good morning X familia.
4
8
6
80
Chumachapua retweeted
1. Usiogope Kuwatendea Watu Vile Jinsi Wanavyokutendea Wewe. 2. Usimpe Mtu Heshima Ambayo Yeye Mwenyewe Haithamini. 3. Usiendelee Kuwa Mwema Kwa Watu Wanaotumia Wema Wako Kama Udhaifu. 4. Weka Mipaka Pale Unapodharauliwa 5. Ondoka Pale Ambapo Uwepo Wako Hauna Maana.
4
10
18
281
Naomba Repost Yako 🙏❤ ⌚BVLGAR Tsh.75000 ☎0752777167 📍popote Nakutumia
2
39
35
294
Rehema zako ni mpya kila asubuhi, na uaminifu wako hauna mwisho. Tuanze na Mungu kwanza 🙏🏽
9
16
29
336
Chumachapua retweeted
Hata uwe mpole kiasi gani, kama usikubali kutumikisha vibaya. Good morning Champs
16
19
26
334
Chumachapua retweeted
27/11/2026 Ijumaa hii iwe ya Baraka Amani na Furaha kwako pamoja na familia yako
7
14
26
295
Chumachapua retweeted
"Mtu hachekwi kwa mambo matatu. 1. Ugonjwa 2. Kifo 3. Balaa lililompata." Good morning X Familia 👊🏾
15
24
1
39
448
Chumachapua retweeted
Bro, kuna muda presha haitakuwa kuhusu iPhone wala nguo. Presha itakuwa ni nani ana nyumba, uimara wa kifedha na familia yenye furaha. Kazana!!! 👊👊
9
24
50
641
Habari koku mimi ni fundi Aluminium na vioo nipo Dodoma nataka tujenge maisha nawewe achhana na hao matapeli wa daslamu
🤣🤣 Zamani tulikuwa tunadate mtu because of their profession. Mwanajeshi yule, Daktari yule, Lawyer yule! Mhandisi yule ..Siku hizi hata awe dalali, as long as ana akili, good character, ambition na anajua how to build a life
1
3
6
175