Inafahamika bayana kwamba mtu ambaye si shoga hawezi kamwe kuangalia video ya zinaa za ushoga
Sasa jinsi vijana wetu hasa hapa Twita wanavyohaha kuiona video ya shoga maarufu anko tii ni case study extraordinaire ya jinsi vijana wetu wengi walivyoingia kwenye ushoga.
Chumachapua retweeted
Mtu asiwatishe pale Selena kuku ni shilingi elufu saba akiwa kwenye picha baada ya kusoma menu
Chumachapua retweeted
Kindly #Repost 🙏
Embroidery and DTF T-shirts Printing 🔥. T-shirts Zenye Ubora. Karibu Sana Tukuhudumie 🤝
📍 Arusha
📩 0685294460
✅ Tunafanya Delivery Pia
Chumachapua retweeted
Matatizo yataendelea kuwepo siku zote. Jifunze kufurahia maisha huku ukitatua matatizo hayo.
Chumachapua retweeted
Watu wengi maumivu yao makubwa kwenye maisha sio yanayotokana na wabaya wao Bali yanayotokana na watu wao wa karibu.
Chumachapua retweeted
Huenda usifikirie ndoto zako kila siku, lakini kuna sehemu ndani yako ambayo inaendelea kufanya kazi ili kuzifikia.
Hata siku ambazo hauoni maendeleo, haimaanishi kwamba safari imesimama.
Chumachapua retweeted
Hivi ukila kwa pupa vinakaba zaidi ya roba mbao😂😂
*karibuni viazi vitamu vya kuchemsha vipo✌️
Ukinunua viazi vyako vya jero na mikachumbari😋na pepsi yako🙌makutano jioni😂
Chumachapua retweeted
1. Usiogope Kuwatendea Watu Vile Jinsi Wanavyokutendea Wewe.
2. Usimpe Mtu Heshima Ambayo Yeye Mwenyewe Haithamini.
3. Usiendelee Kuwa Mwema Kwa Watu Wanaotumia Wema Wako Kama Udhaifu.
4. Weka Mipaka Pale Unapodharauliwa
5. Ondoka Pale Ambapo Uwepo Wako Hauna Maana.
Chumachapua retweeted
Rehema zako ni mpya kila asubuhi, na uaminifu wako hauna mwisho.
Tuanze na Mungu kwanza 🙏🏽
Chumachapua retweeted
27/11/2026 Ijumaa hii iwe ya Baraka Amani na Furaha kwako pamoja na familia yako
Chumachapua retweeted
"Mtu hachekwi kwa mambo matatu.
1. Ugonjwa
2. Kifo
3. Balaa lililompata."
Good morning X Familia 👊🏾
Chumachapua retweeted
Bro, kuna muda presha haitakuwa kuhusu iPhone wala nguo.
Presha itakuwa ni nani ana nyumba, uimara wa kifedha na familia yenye furaha.
Kazana!!! 👊👊
Habari koku mimi ni fundi Aluminium na vioo nipo Dodoma nataka tujenge maisha nawewe achhana na hao matapeli wa daslamu































