Dev Tek (@apollo2d) profile picture

Tanzanian Tech Innovator 🇹🇿 | AI • IoT • Telecom 📡 | Building technology that solves real problems 🌍 | Founder, Dev Tek Innovation

Palermo, Sicily
Joined November 2025
Photo by Dev Tek (@apollo2d)Photo by Dev Tek (@apollo2d)Photo by Dev Tek (@apollo2d)
Nimeambiwa ni report kazi Monday. Your son is grateful my Creator.🥹
78
608
23
7,109
64,275
I WILL Giorgio Armani Perfume Available ✅ 📞+255719068333 Muagize Mudi Yuko Dubai 🇦🇪 18hrs Unapokea Perfume Yako Dubai ✈️ to Dar es Salaam 🇹🇿 Kizimkazi kwa Bi Mdashi
11
11
289
Siku Moja Amka Asubuhi, Fungua Account Mpya Mitandao Yote Ya Kijamii, Anza Kupost Biashara Yako Japo 10Posts/Day… Baada Ya Muendelezo Wa Siku 90 Njoo Hapa Utuambie Umekosa Mteja Hata Mmoja! Ntakurudishia Gharama Za Bando Lako🫵
4
7
31
702
Kama hauna sababu ya msingi, usiondoke kwa wazazi kwenda kupanga
23
40
1
312
9,296
Siku Moja Amka Asubuhi; Fungua Account Mpya Mitandao Yote Ya Kijamii, Anza Kupost Biashara Yako Japo 10Posts/Day.. Baada Ya Muendelezo Wa Siku 90 Njoo Hapa Utuambie Umekosa Mteja Hata Mmoja! Ntakurudishia Gharama Za Bando Lako🫵
5
12
127
4,227
TBT
🚨TBT threads, Drop your Favorite TBT Picture..!✍
5
14
3
54
1,589
Unapojenga maisha mazuri unayoyatamani usiache kumshirikisha mungu ndo mwana wa uhakika atakayekupa michongo 💯 Asilani sio mchoyo na hana nongwa ❤️
11
39
696
Ubinafsi ndo "UTAJIRI"
Watu wakijua wewe ni “mtoaji” watakuletea shida zao mpaka ukome. Hukatazwi kutoa maana pesa ni zako ila wema wako usizidi uwezo ulionao. Na watu hao hao uliokua unawasaidia siku ukianguka ndio watakua wa kwanza kukung’ong’a na kukucheka kwamba “kiko wapi”. Ubinafsi ndio Utajiri.
1
7
290
Tsh 107,000/= DAVIDOFF Cool Water Intense Perfume Available✅ ☎️WhatsApp +255719068333 Mudi in Dubai 🇦🇪
15
12
250
Tsh 110,000/= Vanilla Aura MAISON Perfume Available ✅ ☎️WhatsApp +255719068333 Mudi in Dubai 🇦🇪
30
1
32
1,077
Ukipata Repost 100 📌 @asiliasali Nakuzawadia hii❤️ Ndani ya masaa 18 utaipokea ukishapata repost hizo 🫶🏾🤝 Wajue Muagize Perfume ✅ Mudi yuko Dubai WhatsApp ☎️ +255719068333
This quoted post is unavailable.
25
21
573
📍Dar: Kariakoo Aggrey & Likoma 📞0625251545 TOP UP & EXCHANGE — EASY & FAST!
📱 SIMU ZIPO DUKANI! 🔥 Unatumia simu gani kwa sasa? 😎 Njoo nayo, ongeza hela kidogo tu — tukubadilishie simu nyingine! 🔄📱 Chagua simu unayoipenda, ongeza Pesa kidogo na unatoka na simu mpya. 🔥 📍Dar: Kariakoo Aggrey & Likoma 📞0625251545 TOP UP & EXCHANGE — EASY & FAST!
6
9
408
Kama ulinitumia CV kwa ajili ya kupata Ajira📍Dubai kama huku nitumia passport size yako naomba nitumie fasta whatsApp Tayari mkononi nna kampuni 10 zilizo tayari kupokea CV kutoka Kwangu ✅ 1.Passport 📌 2.Vyeti vyako viwepo kwa wale John Visomo Wengine FRESH Tu 💯 SKILLS ✅
5
36
83
2,849
REPOST Yako ❤️ Njoo 📍Dubai kwa $ 1700 Tu October 📌 🛑Comfortable Hotel Stay ✅ 🛑Visa ✅ 🛑Flight Go & Return ✅ Mengine Tuachie Sisi Tukutembeze Kona zote za Jiji lenye mfano wa PEPO While ukifanya Shopping na mengineyo Mudi in Dubai 🇦🇪
1
69
2
59
1,692
IRISH LEATHERS Memo Paris available ✅ ☎️WhatsApp +255719068333 Mudi in Dubai 🇦🇪
16
1
20
523
Dev Tek retweeted
Mwanamke umeolewa unakuwa na marafiki ambao hawajaolewa, kazi yao ni kushinda saloon tu hawasukwi wala kusuka lao moja ni umbea tu, story za mtaa mzima mnakuwa nazo - Sasa unategemea wakupe ushauri gani? Zaidi ya kukutafutia vijana tu, kumbe lengo lao yakushinde uwe kama wao.
15
33
7
77
5,089
If you take photos of random little things because they looked beautiful for no particular reason, please share here !!
5
8
341
That LOVE ❤️ keep same spirit tufikie malengo ameen kwa sote
Replying to @Mudimabiriani
Nikiona biashara mimi naisukumia huko huko 😂 Wateja wapo humu humu ndani
1
5
18
420
Kinachonishangaza ni unyayo usiochakaa kuna binadamu hapa duniani kashaa viatu 300,000 Mungu ana wonders 🤲 kuliko kumchunguza alichokiweka nje ya solar system maana ilishaandikwa hakuna binadamu atakayetoka nje ya solar system Mariana Trench palitushinda kule pacific ocean
Binafsi siamini eti ni kwenye huu ulimwengu wote solar system yetu tu ndo uhai. Naamini kuna solar system nyingine huko zina watu wengine wanaishi ila ni ngumu kuwafikia.
2
18
838
"Winwin situation ni ngumu kwa wabongo" Dogo anayenipigia simu saa saba usiku kutaka kujua kinachoendelea sababu kanitumia CV ambayo nimeituma kwenye kampuni walionisogezea hizo Ajira hutomuona ana repost biashara ya perfume nayotangaza while mteja anaweza akawa kwenye TL yake
Replying to @Mudimabiriani
Lets do winwin situation
3
13
1
51
1,728