Walaga (@beingwalaga) header
Walaga (@beingwalaga) profile picture

In His will is our Peace | Loyal father to ELNATHAN | @LFC & @SimbascTanzania ❤️ | Team Capricorn ♑

Earth
Joined May 2017
Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)Photo by Walaga (@beingwalaga)
Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri Hatmae October 19, 2023 kwa kudra za Mwenyezi Mungu, mke wangu akajifungua salama mtoto wa kiume 🤲 #NewProfilePic
26
17
3
54
6,492
Haka kautaratibu kakuvuka Sekenke usiku kama nmekaelewa hivi
42
Mimi nikipost hii hapa kesho yake naweza ambiwa nilijenga eneo la shule wakataka nivunje huku kuna mtu ananichawia sio bure😂😂, hongera man
Wazazi wangu ni baraka kubwa sana!! Kuna muda wanahakikisha ndoto zangu zinatimia kupitia wao! Asanteni kwa kila jambo wazazi wangu, na sasa rasmi leo tunaondoka kwenye nyumba za kupanga. NI MUNGU NA WAZAZI!❤️🔥🙏🏽✅
8
5
78
4,360
Wafanyabiashara wa Mabus wameona waache kuwafurahisha Wenye Vituo vya mafuta Wanajenga vya kwao kwa spidi sana
7
20
1
339
10,995
🕯 TANZIA 🕯 Watu 21 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa baada ya basi la abiria la kampuni ya Maokoto Bus Services kugongana na lori la mizigo katika ajali iliyotokea eneo la Njiapanda ya Kiponzero, barabara kuu ya Iringa–Mbeya.
1
3
8
284
Kipindi roundabout ya Usagara inajengwa, unaambiwa kulikua na makaburi moja ya kaburi lilikua la mtoto wa miaka mi3 ile wanafukua wakakutana na sufuria 3 mpya, mengjne walikua wanakuta vinu tu
1
57
Nmeambiwa kumenyesha huko
😆😆😆 kaka shemeji hajambo?
1
1
73
UNATAKA KUPUNGUZA KILO 9 ZA UZITO? FAHAMU FAIDA ZA VIAZI VITAMU, Je, unajua kwamba viazi vitamu vinaweza kukusaidia kupunguza uzito na mafuta yaliyokusanyika tumboni? Watu wengi wanahangaika na uzito mkubwa, tumbo lililochomoza na mafuta mengi mwilini bila kujua kwamba uchaguzi wa chakula unaweza kusaidia sana. 1. VIAZI VITAMU (SWEET POTATOES) Viazi vitamu ni miongoni mwa vyakula vyenye virutubisho muhimu kwa afya ya mwili, hasa kwa mtu anayepambana na uzito mkubwa, FAIDA 7 ZA VIAZI VITAMU KWA MTU ANAYETAKA KUPUNGUZA UZITO ✅ 1. Vina nyuzinyuzi (fiber): Husaidia chakula kumeng'enywa taratibu na kukufanya ujisikie umeshiba kwa muda mrefu. ✅ 2. Hupunguza njaa ya mara kwa mara: Unapokula viazi vitamu kwa kiasi kinachofaa, unaweza kupunguza tabia ya kula ovyo kati ya milo. ✅ 3. Husaidia kudhibiti sukari kwenye damu: Nyuzinyuzi zake zinaweza kupunguza kasi ya ufyonzwaji wa sukari. Hata hivyo, viazi vitamu vina wanga na vinaweza kuongeza sukari kwenye damu. ✅ 4. Husaidia kupunguza uzito: Unapovitumia badala ya vyakula vyenye kalori nyingi, vinaweza kusaidia kupunguza jumla ya kalori unazokula. ✅ 5. Husaidia afya ya utumbo: Nyuzinyuzi zake husaidia choo kutoka vizuri na kupunguza tatizo la kufunga choo. ✅ 6. Vina vitamini muhimu: Hasa viazi vitamu vyenye rangi ya chungwa vina beta-carotene ambayo mwili hutumia kutengeneza vitamini A. ✅ 7. Husaidia afya ya moyo: Vina potasiamu inayosaidia utendaji wa misuli na udhibiti wa shinikizo la damu. FAHAMU AINA MBILI ZA MAFUTA YA TUMBONI 1. Mafuta ya chini ya ngozi (Subcutaneous fat): Haya ni mafuta yanayokusanyika chini ya ngozi, hasa tumboni na kiunoni. 2. Mafuta yanayozunguka viungo vya ndani (Visceral fat): Haya hukusanyika ndani ya tumbo kuzunguka viungo kama ini na utumbo. Yakiwa mengi huongeza hatari ya kisukari aina ya pili, magonjwa ya moyo na shinikizo la damu.
1
1
6
1,193
Replying to @AbilMdone
@AbilMdone WHAT IF Sasa ukitulia zako unacheza zako drafit aidha na AI au unashindana na mtu. Na tunaweza kuwa na spectators wa mechi wakaangalia live mechi ikiendelea na kutakuwa na tournaments pia. Ijaribu drafti.habaritechnology.com @TOTTechs @chapo255 @INFLUENCERjr
1
4
14
530
Update Nilitoa order ya Makange ya Samaki na Ndizi .... Hapa nimefika Mombo Liverpool Hotel nimekamata Sahani yangu Hawa Jamaa hawaruhusu kuingia na Chakula ndani ya gari Unaweza ukamaliza kula ukalala kidogo Jamaa wanakupa huduma ya Kifalme. Sio mambo ya kupigiwa honi hovyo
Gar: BM Coach VVIP No. T 422 EHB Uelekeo: Dar (Jiji la Matapeli). Hii chuma Nauli yake ni 87,000/=, wakati VIP nyingine ni 60,000, ikiwa na ongezeko la 27,000/=. Kwanza nimekutana na Menu hiyo hapo. Mwisho wa Safari nitafanya Review ya Safari.
23
14
3
143
20,421
Kifo tunatembea nacho, kuna ajali mbaya imetokea hapa Mwanangwa, dereva wa Ally's Star Cargo kaisha pale pale 😢😢 Cabin ndo haitamaniki kabisa
1
1
1
64
Yale Majina kwenye magari ya #Mallessa'sLUXURY na #Mallessa'sRoyal yana uzito sana kwenye kampunj sio majina tu ilimradi. Pole sana kwa familia nzima ya #Mallessa's.
2
16
1
216
23,663
Mshahara mmoja ila una mademu watano, ndio maana unavaa t-shirt za mashirika kila siku tunakuona TALGWU, CWT & TUCTA hauwezi ukanunua hata ka form six ka 10k
60
82
5
584
26,603
#JohanviaExpress Sirari || Tunduma Nina habari njema kuhusu hi kampuni, milango inazidi kufunguka 🙏🏻
4
17
1
111
2,131
Kama una nauli pungufu iliyopangwa na Latra lakini unahitaji kusafiri kuelekea haya Mwanza, Moshi au Dar-es-Salaam usisite kunipigia. Kwa 70k tu utatoka Dar-es-Salaam mpaka Mwanza.
2
9
60
1,763
Mali tupu hapa 💸 💰 🤑 💲 💵
6
13
466
Geita-Mbeya
2
1
1
47
517
NYERERE ALIHUKUMIWA FAINI, LISSU AMEHUKUMIWA MIAKA 4: 1958 HADI 2026 NYERERE, LISSU NA SAFARI YA MASHTAKA YA KISIASA Mwaka 1958, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam na serikali ya kikoloni, akishtakiwa kwa makosa mawili ya uchochezi Tarehe 12 Agosti 1958, Nyerere alikutwa na hatia katika makosa yote mawili. Mahakama ilimhukumu kulipa faini ya jumla ya shilingi 3,000 za Afrika Mashariki au kwenda jela kwa miezi sita Nyerere alichagua kwenda gerezani badala ya kulipa faini. Hata hivyo, viongozi wenzake wa TANU walimshawishi akubali kulipa faini hiyo na wanachama pamoja na wafuasi wa TANU wakachangisha fedha za kumlipia Miaka 68 baadaye, tarehe 6 Novemba 2026, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne baada ya Mahakama Kuu kumuondolea shtaka la uhaini na kumtia hatiani kwa kosa la uchochezi ambalo awali halikuwepo kwenye hati ya mashtaka Nyerere alihukumiwa kulipa faini au kifungo cha miezi 6 jela lakini Mhe. Lissu amehukumiwa jela bila kulipa faini. Kesi hizi makosa yanafanana na zote ni sehemu ya historia ya viongozi wa kisiasa kukabiliwa na mashtaka ya uchochezi nchini Tanzania
6
32
49
1,081
Dar - Lake zone 📍Magufuli out 478 ELR Kaizerege 10:23 658 EME Johanvia 10:29 620 EUS God first 10:57 619 EUS God first 11:03 Roja Mox 283 EAV Abood 11:23 197 EQC Allys 11:59 261 EPX Happy Nation 12:02 894 ETZ Frester 12:02 752 ESD Katarama 12:03
1
2
1
19
881
DAR || SUMBAWANGA EUU series 🚌 #NewSongoExpress
4
5
2
47
1,329
Mshua alinisisitiza sana. Haijalishi maisha ni magumu kiasi gani, Ila Usisimsindikize mtu kwenye Safari yake ya Utajiri.
8
29
1
179
5,362