Pinned Tweet
Replying to @MariaSTsehai
You can't treat people like garbage and worship God at the same time🤕🤕
Rokpa retweeted
Kama NDUNGURU na SAMIA walizani kwa ile hukumu ya LISSU luwa wana mkimbiza kumbe ndio wanamsindikiza.
One aibu waliyoipata mahakama ya adul na samia
Rokpa retweeted
Kama angetaka kuwa nje, angetoka kitambo sana, hata kwa kuwalaghai majamaa kwa hoja ya 'maridhiano' fake.
Yuko kwenye "mission" maalum ya KUANIKA uozo wa Mfumo wa Utoaji Haki wa hii nchi. Ndio maana huwa anatabasamu muda wote. Lengo likitimia, tutamuona tu uraiani.
TUMUOMBEE.
Rokpa retweeted
Wasaliti wanajitoa akili tu na hizo “strategic engagement” zao. Lissu ana uwezo wa kufanya hizo “strategic engagement “ yeye mwenyewe akiwa hapo hapo gerezani na hata wauwaji walipoanza kumtembelea gerezani usiku kwa ajili ya “strategic engagement” Lissu aliwaanika mahakamani na kusema hadharani hataki kutembelewa gerezani usiku , akasema yeye anachotaka ni utawala wa sheria ndio uongoze njia.
Lissu amegoma mazungumzo ya kihuni na kitapeli. Lissu amegoma kupiga magoti kwa watesi wake ila wasaliti wanafosi kumpigisha Lissu magoti kwa watesi wake, wasaliti wanafosi kuwapigisha magoti Watanzania kwa watesi wao waliowapiga risasi October 29. Wasaliti wanafosi Watanzania wakubali na ku accept kutawaliwa na CCM kwa mtutu wa bunduki.
Watanzania vita dhidi ya John Heche inaanza ili maridhiano ya kihuni na kitapeli yafanyike, TUSIKUBALI. Tupambane na hawa wasaliti kwa nguvu zetu zote.
Rokpa retweeted
Gwajima aliwahikusema kushinda kwenye uchaguzi kwa hila ni rahisi ila kuongoza nchi iliomeguka ni vigumu sana.
Hii sound naisikia mara kwa mara kwenye akili yangu
Rokpa retweeted
Tulisema Lissu sio Mhaini (imethibitika). Sasa tunasema Lissu sio Mchochezi. Nyie mnasemaje?
Rokpa retweeted
"Sisi kama mawakili tumeshajiandaa, tumeshajipanga na tumeshaanza mchakato wa kwenda Mahakama ya Rufaa ili kutafuta haki ya Mheshimiwa Tundu Lissu. Tunaamini kabisa ni mtu asiye na hatia." - Wakili Paul Kisabo
Rokpa retweeted
Yunge, we welcome you warmly into our family, just as we are delighted to become part of yours. May your home be filled with laughter, your hearts with peace and your years together with happiness and fulfilment.
Rokpa retweeted
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya, David McAllister, ametaka Serikali ya Tanzania kumwachia huru mara moja na bila masharti Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Katika taarifa aliyotoa leo Novemba 7, 2026, McAllister amesema hukumu ya kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi, baada ya Lissu kuachwa huru kwenye shtaka la uhaini, ni hatua isiyoendana na kanuni za demokrasia na uhuru wa kujieleza.
Amesema Lissu amekuwa mahabusu kwa zaidi ya siku 500 katika kesi ambayo Bunge la Ulaya limekuwa likiita ya kisiasa. McAllister pia ameeleza kuwa kesi hiyo imekuwa kikwazo kwa haki ya wananchi kutoa maoni yao.
#MeaMswahiliUPDATES
Rokpa retweeted
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government.
Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend.
This is not justice. This is damage control.
History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu
November 6, 2027
—Admin.
Rokpa retweeted
2030 ndio mwaka tutakaopata ukombozi.
Ataachiwa huru na utabiri utakuwa umetimia🙏
Let’s keep pushing 💪
Rokpa retweeted
LISSU anapendwa na watanzania wote wenye akili timamu, isipokuwa wale wasenge wasenge tu machawa wa CCM
Rokpa retweeted
Kesi ya uhaini imeisha. Lissu ameshinda. Sasa imeanza kesi ya Abdul na mama yake.
#FreeTunduLissu
Rokpa retweeted
Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imeiamuru Serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya Mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, Novemba 2, 2026, huku wakitakiwa kueleza mazingira ya kukamatwa na kuzuiliwa kwake.
Agizo hilo limetolewa Oktoba 30, 2026, na Jaji Alexander Muasya Muteti, kufuatia maombi yaliyowasilishwa na shirika la Vocal Africa kwa niaba ya Mwaipaya, likizitaka Mamlaka husika kueleza alipo na sababu za kuendelea kumshikilia.
Katika uamuzi huo, Mahakama imewaagiza walalamikiwa wa kwanza, wa pili na wa tatu kumfikisha Mwaipaya mbele yake pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, huku wakitakiwa kueleza kwa nini asiachiliwe mara moja.
Vilevile, walalamikiwa wa tano na wa sita wameamriwa kufika Mahakamani au kupitia Mawakili wao kueleza sababu za kukamatwa na kuzuiliwa kwa Mwaipaya.
Mahakama imepanga shauri hilo kutajwa tena Novemba 2, 2026, saa tano asubuhi, kwa maelekezo zaidi, huku wahusika wakitakiwa kuwasilisha majibu yao kabla ya saa tatu asubuhi siku hiyo.
Amri hiyo imekuja baada ya maombi ya Vocal Africa kuthibitishwa kuwa ya dharura na Mahakama.
#KitengeUpdates
































