KIJANA MWEUPE (@dullahIcon) header
KIJANA MWEUPE (@dullahIcon) profile picture

Businessman || Man and a Half|| Economist ||

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2022
Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)
KIJANA MWEUPE retweeted
Huyuu atatusaidia kujuwa shabiki wa kweli wa City ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
1
1
1
215
KIJANA MWEUPE retweeted
Ila wadada wana kazi sana just imagine mtu kataka tucheze 654321 sijui,nimejibu imekuwa kesiii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
1
1
1
320
KIJANA MWEUPE retweeted
#MICHEZO: Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF limeipitisha Lugha ya Kiswahili kama Lugha rasmi ya kwenye shughuli zote za soka barani Afrika.Uamuzi huo wa kihistoria umefikiwa leo Jumamosi, Novemba 21, 2026, katika Mkutano Mkuu wa 48 wa CAF unaofanyika mjini Abuja, Nigeria Pendekezo la kufanya marekebisho kwenye katiba na kanuni za CAF (Kifungu cha 3 ibara ya 1, 2, na 3 pamoja na Kifungu cha 7 cha Kanuni za Mkutano Mkuu) liliwasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Rais wake Wallace Karia. Hoja hiyo ya Tanzania iliungwa mkono kikamilifu na mashirikisho ya soka ya Kenya (FKF) na Uganda (FUFA), ikiwa ni sehemu ya maandalizi na ushirikiano wa ukanda wa Afrika Mashariki kuelekea mashindano ya AFCON 2027 yatakayoandaliwa kwa pamoja na nchi hizo tatu. Kwa uidhinishwaji huu, Kiswahili sasa kinaungana na lugha nyingine kuu zilizokuwa zikitumiwa na CAF (kama vile Kiingereza, Kifaransa, na Kiarabu) katika mawasiliano rasmi, nyaraka, mikutano mikuu, pamoja na mikutano ya waandishi wa habari kwenye mashindano ya CAF. โœ: @nickymeena_ #Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
2
1
2
73
2,992
Jumamosi ya leo ikawe ya kheri kwako na baraka tele Good morning FAM๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
16
23
28
350
KIJANA MWEUPE retweeted
Good morning
4
4
7
250
Mkubwa Marioo iyo Hela yangu ninayokudai unilipe kwa AzamPesa sitaki makubwa na wewe.!!
4
12
120
5,019
BRO TO BRO Nobody is more expensive than a woman that doesnโ€™t like you. When a woman wants to leave you Be a gentleman and show her the door ๐Ÿšช
8
52
5
481
16,751
Dj Ally B aliwahi kusema kwenye moja ya podcast hapa mjini kwamba aliwahi kulipwa โ€œmzigo mrefuโ€ ambao hakuwahi kulipwa kabla kwenye maisha yake ya U-DJ. Akasimulia pia kuhusu wale jamaa wa mgodini aliowahi kuwasaidia kuclear bills pale Muhimbili. Akamalizia kwa kusema: โ€œUkimfanyia mtu wema, ita-appear hivyo hivyo. The same ukimfanyia mtu ubaya.โ€ Maana yake ni moja tu: Kila kitu hapa duniani kitafanyika. Ni suala la muda tu. Huyu mwanangu, kwenye hiyo tweet ya June 5, 2024, alifanikiwa kuzama pale Vingunguti. Baadaye akatoka, akasonga mbele na harakati zake. Leo amenisogezea project mmoja HEAVY sana. ๐Ÿ™Œ Angeweza kufanya mwenyewe. Angeweza pia kumpa mtu mwingine. Lakini akakumbuka kuna Kabote anaweza kufanya, kwa sababu project inataka mtu mwenye taaluma ninayoishi nayo kwa sasa. Wema unalipa, wanangu. Utaratibu ni ule ule: Kumshukuru Mungu kwanza ๐Ÿ™๐Ÿพ, then as soon as possible, kuna wachache wetu humu tutagawana huu ugali pamoja kulingana na position husika. Tuendelee kuishi na hii๐Ÿ‘‡ Kunjua nafsi ubarikiwe, maana kizazi chetu tukizeeka hatutaki tuje kuwa na wazee wachawi. โ€” Honest Mtalo
Jana nimekutana na hustler mmoja maeneo ya SIDO KIPAWA kila nikikatiza ile mitaa mamkuta kachill chini ya mti Akasogea na kuniomba 100 mfukoni nilikuwa na 250 chenji za mwendokasi Nikampatia na kumuachia namba ya simu akifika karibu na wakala anichek nimalizane nae zaidi ๐Ÿ‘‡
11
28
1
137
18,238
Bro to bro Mara moja moja, tembelea Divorce Court, na ufatilie Divorce case, Hakuna mwanamke analilia upendo wala kujenga familia, Wanacholilia ni kuondoka na Mali za Mwanaume, na kumuacha Mwanaume akiwa kwenye Great Economic Depression. Na sababu ingine ni Child support, hivi we kwenye ukuaji wako Ni mara ngapi ushawahi ona Watoto wanasaidia baba zao. Bro hizo hela Kula, kuwa mnufaika wa kwanza wa Jasho lako,
30
99
2
571
23,672
Hii Mechi ishakua Ngumu sema hapa ndio utaona Maajabu ya YANGA.!!๐Ÿซก
3
7
2
94
3,554
KIJANA MWEUPE retweeted
Kontena jipya la VISHANDU limeingia mjini mamae. Wasauzi kumbe walikuwa sawa๐Ÿคฃ
102
81
10
1,085
78,666
KIJANA MWEUPE retweeted
The Bermuda Triangle
252
2,146
227
27,650
382,049
KIJANA MWEUPE retweeted
Unaambiwa hapa mwenetu Doumbia alikosa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2
1
5
313
KIJANA MWEUPE retweeted
Ninakipaji cha kumgundua tapeli kwa mara ya kwanza tu nikimuona๐Ÿšฎ...
22
9
1
68
2,008
KIJANA MWEUPE retweeted
Ewe Mwenyezi Mungu Utuinue ili tusifike ile sehemu waje kusema " Tulijua tu hawezi kufika popote" ๐Ÿคฒ
2
8
17
276
FTโ€™ Hello Wananchiiiiii
9
63
6
1,412
20,559
KIJANA MWEUPE retweeted
Nyumbu awana makazi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜
2
3
28
791
KIJANA MWEUPE retweeted
Joao Pedro knows how to score ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
1
2
77
Miongoni Mwamaamuzi Bora niliowahi kuyafanya Maishani mwangu ni kuwa Shabiki wa YANGA.!!๐Ÿ’›๐Ÿ’š
6
19
277
6,493