Otapp TZ (@otapptz) header
Otapp TZ (@otapptz) profile picture

The Easiest Way to Book Online Bus, Events, Movies, Cargo and Flights Tickets in Tanzania

Dar es Salaam
Joined June 2020
Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)Photo by Otapp TZ (@otapptz)
Nimepita dukani ,nikamwambia jamaa muuza duka naomna karanga 0.5kg. Akaniamnia ni 2250/= Nikampa 2300/= , kunipa karanga, mara ananipa chenchi 7700/= Nikamwambia bro, hii si yangu umekosea, nirudishie tuu 50. Saa ngapi asiseme eti 50 hana, nkamwabia basi nipe pipi, nayo 👇
6
7
1
206
25,054
Pakua Otapp sasa kwenye google playstore na appstore kupitia link ya link.otapp.live/ Kwa msaada zaidi piga simu kwenye namba 0748 771 160. Powered by @otapptz
1
1
141
Otapp TZ retweeted
Chase opportunities, make memories, and explore more this week. Book bus tickets, event tickets, cinema tickets on the Otapp app. Download Otapp through link.otapp.live #Tiketikiganjani
2
2
45
Replying to @TBoundBuses
BUSBORA na OTAPP wako vizuri sana
2
2
304
Ulitakiwa upige simu ofisini muda huohuo , ungekatiwa hiyohiyo siti yako manually. Au ungepiga OTAPP ndo ingekuwa rahisi zaidi. Ila kukata Tena ulifanya makosa.
1
3
198
Replying to @TBoundBuses
BUS BORA N OTAPP for LIFE
1
1
198
Otapp TZ retweeted
Ukanda wa Magharibi ni moto🔥 Ushindani ni mkali! Kutana na katoto ka 2000 😁 mali halali ya @an_classic_official, likifanya safari Dodoma–Kigoma kila siku! Umewahi kulipanda? Tuambie experience 🤪 Tiketi👉 link.otapp.live/ ☎️0748 771 160
1
2
189
#SIMBAMTOTO DAR || TANGA TANGA DODOMA TEMBELEA link.otapp.live/
10
5
1
91
2,551
Otapp TZ retweeted
Replying to @SouthernBuses
Kwa sisi wazee wa kiguu na njia tutakuwa na App ngapi za Mabus🤣 Acha nibaki zangu na Otapp app ina itosha aisee🤦‍♂️
2
1
1
118
Replying to @Adventure_36
Otapp naikubali sana!hongera BUSBORA
1
1
1
126
I really cooked these Otapp designs. Booking (dot) com type of shit
4
4
32
1,577
mwanzilishi wa Otapp itakua anapiga hela vibaya mno!
2
2
13
640
Sema kwaheri kwa tiketi za karatasi na foleni. Otapp inakupa njia ya kisasa, rahisi, na salama ya kukata tiketi za kwenda Mwanza na maeneo mengine yote ndani ya app moja. Pakua aplikesheni yetu sasa kupitia link: link.otapp.live/ Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi kupitia 0748 771 160.
3
5
1
36
3,469
*JAPANESE EXPRESS* 🇯🇵 DAR ES SALAAM > NJOMBE NJOMBE > DAR ES SALAAM *TEMBELEA* link.otapp.live/ japaneseexpress.co.tz
1
4
30
1,255
#HopeSafari DAR|| TURIANI NEW ROUTE ............ *TEMBELEA* link.otapp.live/
2
7
78
3,165
Leo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja tulikuwepo Mbezi Magufuli tukiongea na wadau wakiwamo wateja wetu na abiria wa usafiri! Zaidi ya watu 30 walijua kuhusu huduma zetu za Otapp, ikiwa ni pamoja na programu yetu ya umma ya usafiri na burudani, pamoja na Obus kwa mawakala kukatia tiketi za usafiri kwa abiria. Bado tunaendelea na ziara zetu kuwafikia wadau na wateja mbalimbali ili tupate maoni na maboresho jumuishi katika huduma zetu Otapp: #tiketikiganjani. #Otapp #tiketikiganjani #customerserviceweek #customerserviceweek2025.
3
41
2,839
#BlueStarLuxury Tarime || Dar-es-Salaam @PorcarlP 📸
3
8
102
3,091
#ManingNice mkali wa kusini aliyejimilikisha Babati 🔥 DAR || BABATI KILA SIKU TEMBELEA link.otapp.live/ maningnice.co.tz
2
1
1
27
5,224